Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda: Nimeishia kuwa rais wa fikra

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye alianguka katika hatua za awali za mbio za urais ndani ya CCM, amesema ameishia kuwa “rais wa fikra”.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Pinda: Magufuli anafaa kuwa rais, mchagueni

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CC-CCM) ambaye pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), Mizengo Pinda amewaomba wananchi wamchague John Magufuli kwa kuwa ndiye anayefaa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muhimu kuwa fikra chanya katika maisha

FIKRA chanya si kitu kipya katika maisha ya mwanadamu. Ni vema ukawa na fikra chanya katika vitu unavyovifanya kwa kuamini vinaweza kukuletea mabadiliko. Mwandishi maarufu Napoleon Hill katika kitabu chake...

 

10 years ago

Mwananchi

FIKRA YA LIPUMBA: Rais ajaye ajifunze kutoka Rwanda

Baada ya kujiuzulu kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa CUF nimerejea katika shughuli za utafiti. Tangu mwaka 2011 nilipokutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, nilimueleza nia yangu ya kufanya utafiti wa nini Tanzania inaweza kujifunza kutoka Rwanda.

 

10 years ago

Michuzi

Chifu Wanzagi akanusha taarifa zilizoandikwa kuwa Makongoro hatoshi kuwa Rais

 Chifu wa Kabila la Wazanaki Japhet Wanzagi (wapili toka kulia)i akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya alichotaja kuwa ni upotoshwaji uliofanywa na gazeti moja la kila siku kuhusu taarifa za kutaja sifa za rais ajaye na kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais alidai taarifa za  kumponda Makongoro Nyerere kuwa hatoshi kwa nafasi ya Urais si za kweli bali amelishwa maneno).Wengine ni baaadhi ya wanafamilia na rafiki wa chifu huyo mapaema hii leo...

 

11 years ago

Michuzi

PINDA: SERIKALI HAIWEZI KUWA NA DINI

*Ataka viongozi wa dini wasichoke kuombea amani ya Taifa
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda (pichani) amesema Serikali itaendelea kusimamia msimamo wake wa kutokuwa na dini wala nchi kutokuwa na dini lakini itaendelea kuruhusu watu wawe na dini zao.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumapili, Mei 25, 2014) kwenye ibada ya kumuweka wakfu Askofu Mteule Conrad Nguvumali wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Rukwa iliyofanyika kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga.  Waziri Mkuu ambaye...

 

10 years ago

Mtanzania

Samia anafaa kuwa mgombea mwenza — Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amempigia ‘debe’ Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samia Suluhu Hassan, kuwa ni mwanamke shupavu anayeweza kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka  2015.

Akizungumza bungeni mjini Dodoma jana wakati wa kutoa shukrani, Pinda alisema Samia amepewa sifa kubwa kutokana na kazi nzuri aliyofanya ya kuliongoza Bunge hilo kwa uadilifu.

“Makamu mwenyekiti leo umepewa sifa kubwa, nimeambiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Anzisheni viwanda tusiendelee kuwa wachuuzi-Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amewataka Watanzania wenye uwezo wa kifedha waangalie uwezekano wa kuanzisha viwanda hapa nchini badala ya kuendelea kuwa wachuuzi wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kuziuza hapa nchini.

 

11 years ago

Habarileo

Pinda aagiza halmashauri kuwa na miradi ya matofali

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameziagiza halmashauri zote nchini, kuingiza katika mipango yake mradi wa kuwawezesha vijana kufyatua matofali kwa teknolojia ya kisasa, uliobuniwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ikiwa ni suluhu ya ajira na utunzaji wa mazingira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani