Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PIPI NA ‘UBIZE’ WA KUIJAZA DUNIA!

Doreen Ponera ‘Pipi’. Na Gladness Mallya
MSEMO wa ‘Enendeni mkaijaze duni’ umekuwa na maana kubwa kwa msanii wa  muziki wa kizazi kipya Bongo, Doreen Ponera ‘Pipi’ ambapo amezidi kuongeza  familia kwa kujifungua mtoto wa pili wa kiume. ‘AKimng’ata sikio’ mwandishi wetu  mwanzoni mwa wiki hii, rafiki wa karibu na msanii huyo (jina tunalo) alisema Pipi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Song: Pipi – Hello (Adele Cover)

PIPI COVER

Msanii wa Bongo fleva Pipi amewapa mashabiki wake zawadi ya mwaka mpya kwa kufanya Cover ya wimbo wa Adele unaitwa “Hello” Produced by Valentino and Sifa.. Enjoy.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

BARNABA, PIPI NA RUBY WATINGA GLOBAL TV ONLINE

Barnaba akimpigia gitaa pipi aliyekuwa akiimba wimbo wake mpya wa Shauri Yako. Pipi akijibu moja ya swali aliloulizwa na waandishi (hawapo pichani). Barnaba akifanyiwa mahojiano na Shorvieny Mohamed katika kipindi cha Mtu Kati.…

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanamke azidi kutoa pipi za heroin, tayari ametoa 72

Mwanamke aliyekamatwa juzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, yupo chini ya ulinzi wa polisi huku akiendelea kutoa pipi za heroin kupitia njia ya haja kubwa.

 

10 years ago

Bongo5

Meninah azungumzia kuanza mwaka 2015 na video ya ‘Pipi ya Kijiti’

Muimbaji wa ‘Kakopi Kapesti’, Meninah ataufungua mwaka 2015 kwa kuachia video ya wimbo wake ‘Pipi ya Kijiti’. Meninah ameiambia Bongo5 kuwa ameamua kufanya video hiyo kama zawadi kwa mashabiki wake. “Unajua huu wimbo ulitoka sasa nikaona niufanyie video iwe zawadi kwa mashabiki wangu. Video nimefanya na Abas Adam. Hiyo ndio itakuwa zawadi kwa 2015. Kuna […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani