Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm: Tulieni, nimekuja kazini

Kocha mpya wa Yanga, Hans van der Pluijm. Na Richard Bukos
KOCHA mpya wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema yuko tayari kuanza kazi na Yanga na kuahidi, amani itarejea. Pluijm raia wa Uholanzi aliwasili nchini saa 8:30 usiku akitokea Accra, Ghana, alisema hawezi kuzungumza mengi lakini anachoamini atafanya kazi kwa juhudi kwa kuwa Tanzania kwake ni nyumbani, anaujua ushindani wake. “Bado sijakutana na uongozi wa Yanga,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Lowassa: Wafuasi wa Ukawa tulieni

ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuungwa mkono na umoja wa vyama vingine vitatu, Edward Lowassa, amewataka wafuasi na wanachama wa vyama hivyo kuendelea kuwa watulivu baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jafo: Nimekuja na suluhisho la kanuni

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Seleman Jafo, ametamba kuwa amekuja na suluhisho kwa kanuni za 37 na 38 zilizoleta msuguano bungeni. Kanuni hizo ambazo ziliwekwa kiporo wakati Bunge likipitisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa: Nimekuja kuwapa mbunge

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka wananchi wa Jimbo la Kalenga mkoani hapa kutambua kuwa chama hicho kipo kwa lengo la kuwatetea wananchi...

 

10 years ago

GPL

OYA MASELA TULIENI…KURUKARUKA ZIACHIE POPKONI!

Yere…yere masela inakuwa nini pale kati? Kwani kuna problemu? Kitaa hii ni mpeto wanangu hakuna kusebenza kozi hapa vumbi tu. Ukifuata nyayo tunatembea na fagio tunazifuta. Kitaa hiyo kwa fasi ya Roki Siti barida? Kama vipi mzuka tu makiksi wangu. Wanangu deizi zinakrosi kama hazina akili flenga na watu wazima bado mambo siyo freshi kozi hatujamaliza kurekebisha ishu f’lani za mkwanja ili kitu cha eksimasi kiende...

 

11 years ago

GPL

CHOKI, ASHA BARAKA, HEBU TULIENI, SOMENI HII BARUA!

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki. KWENU,
Ali Choki na Asha Baraka. Kwanza poleni sana kwa majukumu yenu ya kila siku. Najua mchakamchaka mnaokutana nao kila siku. Mnapambana kuhakikisha maisha yanasonga kama kawaida, ingawa changamoto ni za kawaida.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale: Nimekuja Kufanya Kazi Sio Kuuza Sura Wala Kujiuza!!!!-Ester

Mrembo na muigizaji wa filamu anayekuja kwa kasi, Ester Kiama amefunguka kuwa, wanaodhani ameingia kwenye fani ya uigizaji ili kutafuta wanaume wamebugi kwa kuwa yeye siyo mburula na hajui hata anaanzaanzaje kufanya hivyo.

Akizungumzia usumbufu anaoupata kutoka kwa vidume, Ester alisema wakati alipokuwa nje ya fani alikuwa hapati usumbufu lakini sasa ameamua kuonyesha kipaji chake anaonekana kama ameingia kujiuza kama wanavyofanya baadhi ya wasanii wasiojitambua.

“Mimi bwana siyo mburula,...

 

11 years ago

Michuzi

SIJAJA KUFANYA KAMPENI JIMBO LA KALENGA,NIMEKUJA KUTOA TAHADHARI TU-MAKAMU MWENYEKITI CCM, PHILIP MANGULA.

Makamu Mwenyekiti (BARA) wa CCM,Ndugu Philip Mangula akihutubia kwenye kumtano wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga,mapema leo jioni kwenye Kata ya Kalenga-Iringa vijijini.

 

10 years ago

Michuzi

FUNDI KAZINI....

Leo kamera ya Globu ya Jamii,imemnasa fundi huyu makiri wa kupaka rangi kwenye majengo marefu jijini Dar kama aonekanavyo hapo.

 

10 years ago

Michuzi

ajali kazini

Ankal akiwa katapakaa vumbi mwili mzima baada ya kula mwereka na kamera yake katika harakati za kazi kwenye soko la nafaka la Kibaigwa mkoani Dodoma hivi karibuni. Ankal anakwambia kwamba katika maisha lazima mtu ujiandae kwa lolote, mahali popote na wakati wowote... 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani