Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ajali kazini

Ankal akiwa katapakaa vumbi mwili mzima baada ya kula mwereka na kamera yake katika harakati za kazi kwenye soko la nafaka la Kibaigwa mkoani Dodoma hivi karibuni. Ankal anakwambia kwamba katika maisha lazima mtu ujiandae kwa lolote, mahali popote na wakati wowote... 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kuondolewa Nchimbi , wenzake ni ajali kazini au...

Huenda safari ya kisiasa kama za waziri kwa Dk Emmanuel Nchimbi na wenzake watatu kuwa imekamilika.

 

10 years ago

GPL

MONALISA, BANANA WAPATA AJALI KAZINI

HAMIDA HASSAN/Mchanganyiko MASTAA wa filamu ya Daddy’s Wedding, Yvone Sheryl ‘Monalisa’, Banana Zoro, Sandra, Mama Abdul na wenzao hivi karibuni walipata ajali walipokuwa kwenye maandalizi ya filamu hiyo kwenye mbuga ya Saadani. Staa wa filamu ya Daddy’s Wedding, Yvone Sheryl ‘Monalisa’. Ajali hiyo ilitokea katika daraja moja dogo mbugani hapo ambapo walikusanyika kwa ajili ya kushuti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watu milioni 337 hupata ajali kazini

UTAFITI wa Shirika la Kazi Duniani unasema jumla ya watu  milioni 337 duniani hupata ajali kila mwaka katika maeneo ya kazi na kati ya hao, milioni 2.3 hufariki dunia. Makamu...

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI KAZINI KOCHA ABABULIWA NA MPIRA NA KUANGUKA KAMA HAJAVAA SUTI

Kocha alikula bonge la mweleka baada ya kupigwa na mpira wa nguvu wakati beki wake akiondosha hatari.Ilikuwa ni mechi ya Serie A kati ya timu yake ya Inter Milan dhidi ya Genoa.Kikosi cha Mancini kilimaliza dakika 90 na ushindi wa mabao 3-1.

 

11 years ago

Mwananchi

Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi

Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.

 

9 years ago

Michuzi

AJALI NA VIFO VITOKANAVYO NA AJALI MKOA WA DAR ES SALAAM VYAPUNGUA

 Mkuu wa usalama Barabarani Kanda Maalum Dar es Salaam, Peter Sima  katikati akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Maonesho ya usalama barabarani ya yatakayofanyika tarehe Agosti 24 na 25 mwaka huu katika viwanja vya mashujaa Mnazi Mmoja  jijini Dar es Salaam, kulia ni Mrakibu Mwandamizi wa Polisi na  Mkuu wa Trafiki Mkoa wa Kinondoni, Awadhi Haji na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani, Elifadhili Mgonja.Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Michuzi

FUNDI KAZINI....

Leo kamera ya Globu ya Jamii,imemnasa fundi huyu makiri wa kupaka rangi kwenye majengo marefu jijini Dar kama aonekanavyo hapo.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ KAZINI

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' na vijana wake wakifanya maandalizi kwa ajili ya shoo yao ya kesho Januari 8, 2015 jijini Lagos, Nigeria kwenye hafla ya utoaji Tuzo za Mwanasoka Bora wa Afrika 2014.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wivu huleta migogoro kazini

WAKATI unapokuwa na mafanikio katika kampuni au eneo la kazi, unaweza kujikuta una marafiki wengi, pamoja na maadui wachache. Hawa maadui mara nyingi wamekuwa wakijaribu kukuangusha au kukufanya ushindwe katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani