Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pochettino majanga, Mourinho kicheko

MTZ30ABDUCADO EMMANUEL NA MITANDAO

DIMBA la White Hart Lane linatarajia kuwaka moto kesho saa 9.00 alasiri kwa mchezo wa watani wa jadi wa jiji la London ‘London Derby’, wakati wenyeji Tottenham Hotspur watakapoikaribisha Chelsea katika Ligi Kuu England.

Kuelekea mchezo huo, Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino, ameanza kuuona mgumu kufuatia timu yake kutopata muda mwingi wa kujiandaa ukilinganisha na Chelsea.

“Tunakabiliana na timu ngumu, katika hali hii Chelsea ambayo inazo siku tatu zaidi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 04.03.2020: Bellingham, Kane, Mourinho, Pochettino, Zidane, Sanchez, Rakitic

Tottenham italazimika kufanya kila liwezekanalo wasimpoteze mshambuliaji wao Harry Kane, 26, msimu wa joto ikiwa watakosa kufuzu kwa Champions League msimu ujao. (Telegraph)

 

11 years ago

BBCSwahili

Pochettino ni mkufunzi wa Tottenham

Tottenham wamemwajiri Pochettino kuwa mkufunzi wao mpya.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kane hauzwi kwa kiasi chochote – Pochettino

Untitled

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kocha wa Tottenham Hotspur, Mauricio Pochettino (pichani) amesema timu yake haipo tayari kumuuza mshambuliaji wa klabu hiyo, Harry Kane kwa kiasi chochote ambacho kitawekwa mezani kwa ajili ya kupata saini ya mchezaji huyo.

Kane ambaye aliifungia Tottenham magoli mawili katika mchezo wa jumamosi dhidi ya Norwich amekuwa akionekana kuhitajika na baadhi vilabu ikiwemo Manchester United lakini Pottechino amesema mchezaji huyo hataondoka klabuni hapo na ataendelea...

 

10 years ago

Habarileo

Bajeti ya kicheko Zanzibar

Waziri wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar, Omar Yussuf MzeeSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016 huku ikiimarisha na kuongeza kodi katika vyanzo vya mapato kutokana na washiriki wa maendeleo kupunguza misaada yao ya kibajeti.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kicheko kwa wajasiriamali Dodoma

Mji wa Dodoma una sifa kadhaa katika siasa na maisha ya watanzania.Mji huo utaandaa mkutano wa CCM wa kutafuta mrithi wa rais Kikwete

 

11 years ago

Mwananchi

CCM kicheko matokeo ya Kalenga

Mgombea wa CCM, Godfrey Mgimwa anaonekana kufanya vizuri katika uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika jana katika Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 23.05.2020: Coutinho, Willian, Haaland, Sancho, Pochettino, Kavertz

Baada ya kutaka kurejea ligi ya Primia sasa Philippe Coutinho wa Kiungo wa kati wa Barcelona na Brazil anamezewa mate na timu kadhaa

 

9 years ago

Mwananchi

CUF kicheko Masasi, CCM Ludewa

Wakati CUF ilionekana kuongoza katika vituo vya awali kwenye uchaguzi wa ubunge Jimbo la Masasi, CCM imeonekana kuamba katika hatua hiyo katika uchaguzi mwingine kama huo Jimbo la Ludewa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatano 11.03.2020: Lacazette, Werner, Mbappe, Bellingham, Sidibe, Doku, Pochettino

Real Madrid huenda ikamtimua kocha wake Zinedine Zidane na kumuajiri aliyekuwa kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino au aliyekuwa kocha wa Juventus Massimiliano Allegri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani