Polis yaokota kichanga Dampo la uchafu Ruvuma
Wanawake Mkoani Ruvuma wameiomba Serikali kuongeza adhabu kwa wanawake wanaofanya vitendo vya ukatili hasa kwa kuua watoto baada ya kujifungua.
Wakazi wa mfaranyaki Songea wameeleza kusikitishwa na kitendo hicho baada ya kushuhudia Jeshi la polisi likimwokota Mtoto mchanga aliyetupwa katika Dampo la uchafu la makaburi ya wahindi.
Wanawake hao wamewaomba Wanawake wenzao kufanya uchunguzi ili kubaini wanawake ambao walikuwa na ujauzito ambao ujauzito wao haujulikani jinsi ulivyo potea...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
Mwanafunzi KCMC atupa kichanga pipa la uchafu
MWANAFUNZI wa mwaka wa kwanza shule ya viungo KCMC mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, Rachel Malima (22), amewekwa chini ya uangalizi maalumu wa madaktari baada ya kujifungua na kumtelekeza mtoto kwenye...
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Polis 4 washtakiwa kwa kuua mshukiwa
9 years ago
StarTV17 Aug
UKAWA ya lalamikia jeshi la Polis kutumia nguvu nyingi.
Jeshi la polisi mkoani Mwanza mapema leo limelazimika kutumia mabomu ya kuwatawanya waandamanaji waliotaka kwenda uwanja wa ndege kwa ajili ya kumpokea Waziri mkuu mstaafu na mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia Umoja wa katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowasa.
Waziri mkuu mstaafu Lowasa amewasili jijini Mwanza mchana jana kwa ajili ya kujitambulisha rasmi kama mgombea urais kwa tiketi ya umoja huo.
Ulinzi uliimarishwa lakini saa chache baadae baadhi ya wakazi na...
11 years ago
Michuzi20 Mar
9 years ago
StarTV30 Nov
Polis Mara lamshikilia Mwanaume mmoja kwakumbaka binti yake
Jeshi la polisi wilayani bunda linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za kumbaka binti yake wa kuzaa ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi
Afisa tarafa ya chamriho, bw. Boniphace maiga, amemtaja mwanaume huyo kuwa ni athuman jeck mkazi wa kijiji cha mariwanda, kata ya hunyari wilayani hapa.
Amesema kuwa mwanaume huyo alimfanyia unyama huo binti yake wakati mke wake akiwa amekwenda kwenye biashara, zake ambapo anadaiwa kumfungia ndani ya nyumba yao na kuanza kumbaka.
Baada ya kitendo hicho...
9 years ago
StarTV03 Dec
Polis Mara yakamata wa nne kwa kuvamia hifadhi ya ziwa babati
Polisi mkoani Manyara imewakamata watu wanne wakazi wa kijiji cha Himiti wilayani Babati kwa kuvamia hifadhi ya ziwa babati na kufanya shughuli za kilimo.
Aidha jeshi hilo linawasaka watu wengine saba kwa tuhuma hizo za uvamizi wa hifadhi ya ziwa hilo.
Ziwa Babati ndilo linalotegemewa na wakazi wa wilaya ya Babati kama chanzo kikuu cha samaki.
Vijiji vinavyolizunguka ziwa hili vimeweka sheria ya kutofanya shughuli zozote ndani ya mita 200.
Baadhi ya watu wakiwemo viongozi wa vijiji wamevamia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*qIrwMatIxuSoUAzU-5EC2G3p3rpaqpJyHIn699NfKFVEJ48-2Rw9oLOYJIgQMc5rkm33j1*LIXUKAwgV2LEEd1/P1070084.jpg?width=650)
KANISA LA GWAJIMA LAGEUZWA DAMPO
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Pugu waeleza kero ya dampo
WAKAZI wa eneo la Pugu Kinyamwezi, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam wameeleza kero na madhara wanayoyapata kutokana na dampo lililopo eneo hilo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Tanzania Daima...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
‘Tanzania haina dampo la taka ngumu’
TANZANIA haina dampo la kutekeleza taka ngumu zenye sumu, bunge lilielezwa jana. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Ummi Mwalimu, alipokuwa akijibu...