Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi: Jihadharini na matapeli ajira jeshini

POLISI imetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini na mtandao wa matapeli wanaosadikiwa kujipatia fedha kwa udanganyifu kwamba watoa ajira ndani ya jeshi hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Halima Mdee: Jihadharini na Matapeli

HALIMA

Na Mwandishi wetu

Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam, Halima Mdee (pichani) amewatahadharisha wananchi juu ya utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wasiojulikana katika mitandao ya kijamii kwa kutumia jina lake kwa kudai kuwa anatoa mikopo bila riba.

siku za hivi karibuni kumekuwapo na matukio ambayo yamekuwa yakiwakuta baadhi ya viongozi wakiwemo Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe na Mbuge wa Monduli Edward Lowassa.

kwa mujibu wa Mdee ni kuwa  wakati muhafaka kwa Jeshi la Polisi...

 

11 years ago

Michuzi

Utapeli wachukua sura mpya Iringa, mtandao wa waganga wa kienyeji matapeli wawatapeli wenzao 60 kwa kujifanya maofisa wa polisi

Na  Francis Godwin blog  Iringa .
UTAPELI   sasa  wachukua sura mpya mkoani Iringa badaa ya baadhi ya  waganga wa  tiba asilia (Sangoma) kugeuziana  kibao  wenyewe kwa wenyewe kwa  kuanza  kufanyiana  utapeli wa kutisha  ikiwa ni pamoja na kujifanya maofisa wa  polisi na  kuwatapeli fedha  wenzao  zaidi ya 60.
Imedaiwa  kuwa  waganga  hao matapeli  wana mtandao wao na wamekuwa  wakiwatumia askari  wasio na maadili ya  jeshi la  polisi kwa  kwenda  kuwatisha  waganga  wachanga kwa madai kuwa ...

 

11 years ago

Habarileo

Wanachuo Hombolo waomba ajira Polisi

WANACHUO 600 wa Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo, Dodoma waliopata mafunzo ya Polisi Jamii na Ulinzi Shirikishi, wameliomba Jeshi la Polisi nchini kuangalia namna ya kuajiri wahitimu kutoka chuo hicho katika nafasi mbalimbali.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge: Kuna ubaguzi ajira Polisi

MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM), amelalamikia alichoita ubaguzi unaofanyika katika utaratibu wa kuajiri Polisi, ambao hupata ajira ya kudumu baada ya kutumikia jeshi kwa miaka 12.

 

10 years ago

Habarileo

Vijana wahamasishwa kuchangamkia ajira Polisi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Perreira Ame SilimaVIJANA waliopitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Watanzania wengine wenye sifa, wamehamasishwa kuchangamkia nafasi 3,000 zilizotangazwa na Jeshi la Polisi ambalo liko katika mchakato wa kuongeza idadi ya askari katika kukidhi mahitaji ya ulinzi na usalama wa wananchi.

 

9 years ago

Michuzi

TAHADHALI YA UTAPELI KATIKA AJIRA YA POLISI

Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka mtandao wa matapeli wanaojipatia fedha kutoka kwa wananchi kwa udanganyifu kwamba watawapatia ajira ndani ya Jeshi la Polisi hasa katika kipindi hiki ambacho Jeshi la Polisi lipo katika mchakato wa ajira.

Kufuatia hali hiyo, Jeshi la Polisi nchini linatoa tahadhari kwa  wananchi wote kuwa makini na mtandao wa matapeli hao na kwamba, mfumo wa ajira ndani ya Jeshi la Polisi ni wa wazi na unafuata taratibu na kanuni za Jeshi la Polisi, hivyo, Vijana wote...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajira Jeshi la Polisi zisitolewe kienyeji

Tumeguswa mno na hatua ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ya kuwafukuza kazi askari wake wanne kwa kushirikiana na majambazi kufanya uhalifu.

 

10 years ago

Habarileo

‘Hakuna mchakato ajira jeshi la Polisi Z’bar’

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame ametoa tahadhari kwa wananchi kwamba hakuna mchakato wa ajira katika Jeshi la Polisi kwa upande wa Zanzibar na kuwataka watu kujiepusha na utapeli huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani