Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi Mtwara wahimiza ushirikiano

JESHI la Polisi mkoani Mtwara limewataka wananchi kuendeleza ushirikiano na mshikamano ili kudumisha amani na utulivu mkoani hapa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Zelothe Stephen, alitoa kauli hiyo alipozungumnza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO

Washiriki wa mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka uliowahusisha wakuu wa TEHAMA wa sekta mbali mbali nchini Kenya wakiendelea na Mkutano wao jijini Nairobi kujadili mambo mbalimbali na changamoto zake . Mkutano ukiendelea…

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA KWA WATANI WA JADI: WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO

Na Yusuph KileoKushirikiana katika maswala mbali mbali ili kuweza kufikia malengo ni jambo kubwa lililopata kusikika katika mkutano mkuu wa mwisho wa mwaka unaoendelea nchini Kenya unaojadili changamoto mbali mbali za sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. 
Swala la usalama katika mitandao limepata kuangaliwa na changamoto mbali mbali katika mijadala Rasmi (Ndani ya Kikao) na isiyo rasmi (tuwapo nje ya ukumbi wa mkutano) zilipata kuangaliwa kwa ukaribu. 
Swala uhimu nililo jifunza ni...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wahimiza uchaguzi wa amani

JESHI la Polisi nchini limehimiza wananchi kuhakikisha wanashiriki katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu kwa amani na utulivu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Polisi Singida wahimiza utulivu katika mikutano ya kisiasa

DSC0164612

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka.

Na Nathaniel Limu, Singida

JESHI la polisi mkoani Singida,limewataka wananchi waohudhuria mikutano ya kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa inayoendelea, kuhakikisha hawajihusishi  kabisa na vitendo vya uvunjivu wa amani na utulivu.

Aidha,jeshi hilo limewataka wananchi wawe watulivu na wazingatie sheria hata kama wakubaliani na sera zinazoelezwa kwenye mkutano husika.Hiyo itakuwa ni njia mojawapo ya kujiepusha na usumbufu...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yataka ushirikiano kuzuia ajali

JESHI la Polisi mkoani hapa limeitaka jamii kuacha kuchoma moto vituo vya Polisi pindi zitokeapo ajali za barabarani na kueleza kuwa hilo si suluhisho bali ni uharibifu unaorudisha nyuma maendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi yataka ushirikiano kukabili wahalifu

 Jeshi la Polisi nchini limeiangukia jamii kuomba ushirikiano wa karibu kutoka kwa wananchi katika kuibua vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kujitokeza nchini ikiwamo milipuko ya mabomu.

 

11 years ago

Mtanzania

Polisi waomba ushirikiano kukabili mauaji ya albino

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam

MKURUGENZI wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu, amesema  vitendo vya mauaji ya  albino vimeanza kushamiri tena katika baadhi ya maeneo   nchini.

Amesema  kutokana na hali hiyo, jeshi la polisi limewaomba wananchi, asasi za raia, viongozi wa dini na wanasiasa kushirikiana nao  waweze kukamata mtandao wa watu wanaojihusisha na shughuli hizo na kuwachukulia hatua.

Alisema kuwa vitendo hivyo vinahusishwa moja...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea ‘aliyetekwa’ Mtwara apatikana, polisi wachunguza

Jeshi la polisi Mkoa wa Mtwara limesema linachunguza kwa kina taarifa za kutekwa kwa mgombea ubunge jimbo la Mtwara mjini (Chadema) Joel Nanauka na endapo litabaini kuna udanganyifu ameufanya dhidi ya tukio hilo hatua za kisheria zitachukuliuwa  dhidi yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 10 wauawa Kiteto, Mtwara jambazi laua polisi

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika Hifadhi ya Embroi Murtangosi, wilayani Kiteto mkoani Manyara, imefikia 10.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani