Polisi wawatimua waandamanaji Pakistan
Vikosi vya usalama katika mji mkuu wa Pakistan ,Islamabad vimewaondoa waandamanaji kutoka makao makuu ya runinga ya kitaifa PTV.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili18 Feb
Polisi wavamia Waandamanaji Bangkok
Mamia ya polisi wanakabiliana na waandamanaji ambao wamekita kambi katika afisi za serikali kwa niya ya kuwangoa.
10 years ago
BBCSwahili18 May
Polisi wakabiliana na waandamanaji Burundi
Polisi leo wamefyatua hewani risasi za moto katika kukabiliana na maandamano mapya ambayo yameanza maeneo kadhaa ya mji wa Bujumbura
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Polisi wapambana na waandamanaji Brazil
Kumezuka mapigano kati ya jeshi la polisi na wakaazi wenye hasira usiku kucha katika mojawapo ya viunga vya Rio de Janeiro.
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Polisi wawatawanya waandamanaji Nigeria
Polisi wa Nigeria wamefyatua risasi kuwatawanya waandamanaji walitaka adhabu ya kifo kwa watuhumiwa wa mapenzi ya jinsia moja
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Polisi Misri wakabili waandamanaji
Polisi nchini Misri wanaripotiwa kukabiliana na waandamanaji wanaounga mkono aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mohammed Morsi
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
Polisi waliwaua waandamanaji Ukraine
Polisi wa kikosi maalum cha Ukraine wamedaiwa kuwaua waandamanaji kadhaa mjini Kiev, wakati wa vurugu nchini humo Februari mwaka huu.
10 years ago
BBCSwahili16 Dec
Waandamanaji wapambana na Polisi Mexico
Kitendawili hakijapata majibu kuhusu walipo Wanafunzi 43 waliopotea nchini Mexico
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Polisi,waandamanaji wapambana Hong Kong
Polisi na waandamanaji wanaodai demokrasia wamepambana mjini Hong Kong katika eneo linalozunguka makao makuu ya serikali.
5 years ago
BBCSwahili13 Jun
Waandamanaji wakabiliana na polisi mjini London
Polisi walishambuliwa kwa chupa wakati wa makabiliano kati yao na mamia ya waandamanaji mjini London, ambao walipuuza agizo la kutoshiriki maandamano.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania