Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pongezi polisi kufanikisha mikutano ya kampeni

Tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipotoa pongezi za dhati kwa askari wa Jeshi la Polisi nchini kwa kazi nzuri ambayo wameifanya tangu mikutano ya kampeni za Uchaguzi Mkuu ilipozinduliwa rasmi yapata miezi miwili iliyopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MIKUTANO YA KUFUNGA KAMPENI WA CCM

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Kampeni, January Makamba.   CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi wakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo: 1. Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho...

 

9 years ago

Michuzi

MIKUTANO YA KAMPENI YA MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA KISARAWE

 Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa Kisarawe katika mkutano wa kampeni.
 Mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu” akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni. 
Mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu”  
 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Kisarawe, Rashid Mwishehe “Kingwendu”...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA CHADEMA AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI

 Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Zanzibar, Said Issa Mohamed,z (wa pili kushoto) akiwa na kutoka kulia aliyekuwa mbunge viti maalum Chadema, Rose Kamili, mwenyekiti Bawacha mkoa wa Geita, Husna Amri na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoani Dar es Salaam, John Guninita wakisali kumuombea dua aliyekuwa Mwenyekiti ya NLD, Emmanuel Makaidi wakati wa mkutano wa kampeni kati ofisi za Chadema Wilaya Hanang mkoa wa Manyara. Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Zanzibar, Said Issa Mohamed akizungumza...

 

9 years ago

Michuzi

PINDA AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM KALAMBO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Kalambo kwa tiketi ya CCM, Josephat Kandege katika mkutano wa kampeni a CCM aliouhutubia katika kijiji cha Samazi  mkoani Rukwa Oktoba 9,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na  Waziri MKuu, Mizengo Pinda  akihutubia mkutano wa kampeni za CCM katika kijiji cha Samazi  mkoani Rukwa Oktoba 9,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA...

 

9 years ago

Vijimambo

UKAWA WAFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATAVI VIJIJINI

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Zanzibar (CUF), Habib Mnyaa akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi.(Picha na Francis Dande)
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mahamed akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed (kulia) akimtambulisha mgombea ubunge...

 

9 years ago

StarTV

Hofu yasababisha Albino kushindwa kuhudhuria mikutano ya kampeni.

 

Watu wenye ulemavu wa ngozi Albino mkoani Mara wamesema licha ya kuwa na haki ya kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wamekuwa wakikosa fursa hiyo kutokana na kuhofia usalama wa maisha yao.

Wamesema licha ya Serikali na vyombo vingine kukemea vitendo wa kikatili wanavyofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi ikiwemo kutekwa na kuuawa kikatili na kisha kunyofolewa baadhi ya viungo lakini bado kuna baadhi ya watu wanaendeleza vitendo hivyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Magufuli azidi kuchanja mbuga mikutano ya kampeni mkoani Rukwa

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela jana jioni.


Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Sumbawaga mjini mkoani Rukwa,ndani ya Uwanja wa Nelson Mandela kwenye mkutano wa kampeni,pichani nyuma ni Waziri Mkuu Pinda akishuhudia tukio hilo._MG_6285 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk....

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AFUNIKA TABORA, MAELFU WAFURIKA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofayika leo kwenye viwanja vya shule ya Sekondari Uyui katika jimbo la Tabora mjini.Maelfu ya wananchi wakimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Uyui, jimbo la Tabora mjini mkoani TaboraAliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Nkenge lakini akashindwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani