Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Popote ulipo unaweza kuzipokea salamu za sikukuu kutoka maziwa ya NIDO

Ni msimu wa sikukuu ya sherehe za mwisho wa mwaka, Christmas na mwaka mpya 2015, kama kuna salamu umezipata kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki… sasahivi ni time ya kukufikishia hizi kutoka kwa watengenezaji wa NIDO. Kampuni ya Nestle ambao ndio watengenezaji wa bidhaa ya maziwa ya unga ya NIDO, hivi karibuni imethibitisha kwamba kama umegundua mabadiliko […]

The post Popote ulipo unaweza kuzipokea salamu za sikukuu kutoka maziwa ya NIDO appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Unajua kilichojiri kwenye Danga Chee ya Michuzi TV? Fuatilia popote ulipo ukiwa na SIMU.tv.


Unajua kilichojiri kwenye Danga Chee ya Michuzi TV? Fuatilia popote ulipo ukiwa na SIMU.tv. Kujiunga piga *149*01# chagua Shangwe, kisha SIMU.tv(MPYA) kisha Video hitajika kisha Habari kisha Michuzi TV kwa walio na laini za Vodacom. Kwa yeyote mwenye simu au tablet ya Android pata app ya SIMU.tv kwenye Google play; bofya hapa: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.SIMU.tv.

 

10 years ago

Michuzi

salamu kutoka kwa mama bishanga na shosti yake Julie kutoka Liberia

Mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Bi Christina Innocent  Marolen, almaarufu kama "Mama Bishanga",  na mfanya kazi mwenzake kutoka Liberia wanonekana wakiwa kazini, Adern Court Alzheimer Home Care huko Ohio, Marekani, wakifurahia uamuzi wa madaktari watano wa Tanzania wanokwenda kuongeza nguvu ya kusaidia kuwatibu raia wa Liberia, baada ya kusoma taarifa hizo kwenye magazeti ya Tanzania. Julie Blanton ambae alikuja Amerika miaka mingi mara baada ya vita iliotokea Liberia miaka ya themanini na...

 

10 years ago

GPL

NUNUA MAZIWA YA WATOTO KUTOKA UK

Maziwa ya watoto ya SMA ni original kutoka Uk. Mawasiliano: 0785…

 

10 years ago

Habarileo

Maziwa kutoka nchi jirani yalalamikiwa

CHAMA cha Wafugaji wa Ng’ombe wa Maziwa (TDCU) kinakusudia kumwandikia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kupinga uingizwaji holela wa maziwa yaliyosindikwa kutoka nchi jirani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je unaweza kuambukizwa Covid-19 kutoka kwa miili ya wafu ?

Miili ya wahanga wa Covid-19 inaweza bado kutunza virusi hai, lakini inawezekana kuwapa mazishi ya heshima au kuwazika iwapo tahadhari za kutosha zitachukuliwa?

 

9 years ago

Bongo5

Una kipaji cha kuimba? Unaweza kushinda zawadi kibao kutoka #TecnoOwnTheStage kwa kufanya hivi

12356592_764354003692580_994120953_n

Je una kipaji cha kuimba? Unahisi unaweza kuwafunika washiriki wa shindano la Tecno Own The Stage?

Basi una nafasi ya kushinda zawadi kibao kutoka Tecno.

Unachotakiwa kufanya ni kuupload video ya sekunde 15 ya wimbo alioimba mshiriki yeyote na kuipost kwenye ukurasa wa Facebook wa TECNO Own The Stage.

Video yako ikipata likes nyingi utashinda zawadi kila wiki.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

5 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani