Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. Penina Mhando: Nyagoda mwenye maandishi yanayochoma na kufikirisha

MWAKA huu Kigoda cha Mwalimu Nyerere kimeanza na Nyagoda mpya. Maana ya Nyagoda ni Kigoda cha Mwalimu kina Profesa anayekikalia kama mwenyekiti kwa kipindi fulani. Kigoda hiki kilichoanza juzi Chuo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

PENINA ALAUMIWA KUTOZIKA WENZIYE!

Na Gladness Mallya MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Jenifer Raymond ‘Penina’ ameshushiwa lawama ya kukwepa kuhudhuria misiba ya wasanii wenzake.Chanzo makini kilicho ndani ya tasnia ya filamu kimesema kuwa, wanachukizwa na tabia hiyo na wamepanga kumuonya ili kama ataendelea na tabia hiyo asiwalaumu wenzake atakapofiwa.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Jenifer Raymond ‘Penina’ “Tunamshangaa sana...

 

10 years ago

GPL

PENINA KUPIGWA NDOA MUDA WOWOTE

Laurent Samatta/Uwazi
MUIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Jennifer Raymond ‘Penina’, amefunguka kuwa anatarajia kufunga ndoa muda wowote kuanzia sasa. Muigizaji wa filamu za Kibongo, Jennifer Raymond ‘Penina’. Akizungumza na Uwazi, Penina alisema kuwa harakati za kuolewa zipo jikoni hivyo anamuomba Mungu kile ambacho kinatarajia kufanyika kiweze kwenda kama alivyopanga ingawa hakutaka kumweka wazi...

 

10 years ago

Vijimambo

Mjue Dr. Slaa, msomi, mpole, mkarimu, mwenye busara na mwenye tabasamu la kudumu

Na Yericko Nyerere
Dr. Slaa si mtu mwenye maneno mengi, ni mtulivu na mkimya kiasi chake, mwenye tabasamu la kudumu, lakini akipanda jukwaani na kuanza kulishambulia huku na kule huwezi kuamini kinachotoka ubongoni mwake. Kimya kingi kina mshindo.

Wengi hawamfahamu Dr. Slaa vilivyo, wengi wanamwona sasa baada ya kuingia bungeni na sasa katika majukwaa ya siasa, ukweli ni mtu mbunifu, mpenda maendeleo na mwenye kujitoa kwa ajili ya wengine bila kujibakiza. Ufahamu wangu wa huyu Dr. Slaa ni wa...

 

9 years ago

Bongo5

Vitabu ni zaidi ya maandishi by Faraja Nyalandu

11357008_405079516346127_1607457850_n

Kila mwisho wa mwaka huwa ninataja tano bora ya vitabu nilivyosoma mwaka huo. Nimefanya hivyo kwa miaka miwili, unaweza kuona tano bora ya 2013 hapa na hata ya 2014 katika post hii ya Instagram.

11357008_405079516346127_1607457850_n

Kusoma Vitabu ni Tabia

Ninapenda kusoma vitabu, sikumbuki lini nilianza kupenda kusoma vitabu lakini nakumbuka ni tabia niliyokua nayo tokea mtoto. Mama yangu alikuwa mwalimu aliyehakikisha ualimu wake hauishii tu shuleni anapomaliza vipindi bali aliuleta mpaka nyumbani.

Kupe anayefaa

Nikisoma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TAS wataka vitabu vya maandishi makubwa

SERIKALI imeombwa kuchapisha vitabu maalum vyenye maandishi makubwa katika shule mbalimbali kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) walio na uono hafifu. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...

 

5 years ago

Michuzi

SAMPULI YA MAANDISHI YA MSHTAKIWA JOYCE NA DIANA YANAFANANA-ASKARI POLISI

Na Karama Kenyunko globu ya jamii. ASKARI Polisi wa Maabara ya uchunguzi wa Kisayansi kutoka Polisi Makao Makuu, Inspekta Fatuma Mbwana ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa,  maandishi ya maelezo ya Onyo ya mlalamikaji Diana Naivana , yanafanana na sampuli ya maandishi ya mshtakiwa Joyce Kitta ambaye ni askari.
Inspekta Fatuma ambaye ni shahidi wa kwanza katika kesi ya kushawishi rushwa ya sh milioni 200 inayowakabili askari upelelezi wanne wa kituo cha polisi Kawe, ameeleza hayo...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

MCHANGO WA MAANDISHI WA NDG. KABWE ZUBERI ZITTO, MB KUHUSU BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Mheshimiwa Spika, Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu za kuweza kuandika mchango wangu huu mdogo kwenye mjadala wa Bajeti ya Serikali mwaka 2014/15. Kama wengi mnavyofahamu mnamo tarehe 1 Juni mwaka 2014 nilimpoteza mama yangu mzazi na kumsitiri siku iliyofuata tarehe 2 Juni, 2014. Huu ni msiba mkubwa sana kwangu na ndugu zangu wote kwani mama yetu Bi. Shida...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani