Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Programu ya kompyuta kuvuruga ATM wiki ijayo

Wiki moja kabla ya kusitishwa huduma za programu ya kompyuta (OS) ya Windows Xp, imefahamika kuwa waathirika wakubwa watakuwa ni benki na taasisi za fedha ambazo hutumia mfumo huo katika mashine za kutolea fedha (ATMs)

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Halahala matumizi ya programu bandia za kompyuta

Kumekuwa na ulanguzi wa programu (software) za kompyuta zinazofanywa na watu mbalimbali hasa katika nchi zisizo na sheria kali kuhusu masuala haya.

 

9 years ago

Dewji Blog

Watumiaji wa programu za kompyuta waaswa kutumia program halisi —COSOTA

IMG_9057

Afisa Mtendaji na Msimamizi wa Hakimiliki (COSOTA), Dorine Sinare akizungumza na baadhi ya wadau wa proramu mbalimbali za Komputa jijini Dar es Salaam jana.

IMG_9047

Afisa Masoko Madogo na Uhusiano Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, Robin Njiru akielezea juu ya huduma zinazotolewa na kampuni ya Microsoft na koprogram mbalimbali za kompyuta jijini Dar es Salaam.

IMG_9077

Afisa Mtendaji na Msimamizi wa Hakimiliki (Cosota), Dorine Sinare akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Program za Kompyuta...

 

9 years ago

Mtanzania

Makaidi kuzikwa wiki ijayo

MakaidiNA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM

MWILI wa Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi aliyefariki dunia juzi kwa shinikizo la damu unatarajiwa kuzikwa wiki ijayo.

Taarifa ambazo gazeti hili limezipata kutoka ndani ya familia ya marehemu Makaidi, zinaeleza kuwa atazikwa kati ya Jumatatu au Jumanne.

Mke wa marehemu, Modesta Makaidi ambaye jana jioni alikuwa njiani kuelekea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuupeleka mwili wa marehemu, aliliambia gazeti hili...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge kuanza wiki ijayo

MKUTANO wa 16 na 17 wa Bunge unatarajiwa kuanza wiki ijayo, ambapo pamoja na mambo mbalimbali, utajadili miswada miwili binafsi, ukiwamo muswada binafsi wa mbunge, maazimio matatu na Muswada wa Kamati ya Bajeti.

 

10 years ago

Vijimambo

JK kutoa maamuzi Escrow wiki ijayo

  Aagiza ripoti ya CAG iwekwe kwenye magazeti, mitandao ya kijamiiRais Jakaya Kikwete, anatarajia kutoa maamuzi kuhusiana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wiki ijayo.

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, ilieleza kuwa Rais Kikwete atafanya maamuzi hayo baada ya kupokea ripoti, nyaraka na ushauri wa Bunge kuhusu akaunti hiyo.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa Rais Kikwete alipokea Ripoti ya...

 

9 years ago

Habarileo

Kinondoni kujenga sekondari 6 wiki ijayo

WILAYA ya Kinondoni imeazimia wiki ijayo kuanza kujenga shule sita za sekondari katika kata zote ambazo hazina sekondari. Hatua hiyo imelenga kuwezesha wanafunzi 3,000 ambao wamefaulu mtihani wa darasa la saba na kukosa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza mwakani, wajiunge na masomo ya sekondari.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva watishia kugoma wiki ijayo

Chama cha Wafanyakazi Madereva Tanzania (Tadwu) kimeazimia kufanya mgomo nchi nzima Agosti 17, mwaka huu ambao pia utahusisha daladala endapo madai yao hayatafikiwa katika kikao kitakachofanyika Alhamisi wiki hii.

 

11 years ago

Habarileo

Wajumbe Bunge Katiba wiki ijayo

Rais Jakaya Kikwete.MAANDALIZI ya Bunge Maalumu la Katiba, yamefikia hatua nzuri zaidi na wiki ijayo majina 201 ya wajumbe wa nyongeza wa Bunge hilo, yatatangazwa katika Gazeti la Serikali ili kukamilisha wajumbe 604.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Who is My Child kuingizwa sokoni wiki ijayo

FILAMU ya ‘Who is My Child’ inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wadau wa sinema za Kibongo, inatarajiwa kuingizwa sokoni Jumatatu ikiwa ni ya tatu kusambazwa na Kampuni ya 5 Effects...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani