Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PSG yaifunza soka Leverkusen

Paris St-Germain iliilaza Bayer Leverkusen 4-0 katika mchuano wa ligi ya mabingwa barani Ulaya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Uholanzi yaifunza Uhispania soka

Uholanzi iliiadhibu vikali mabingwa wa dunia, Uhispania walipowalaza mabao 5-1

 

10 years ago

Mwananchi

Stars yaifunza soka Benin

Vijana wa Taifa Stars wamemshusha pumzi kocha wa timu hiyo, Mart Nooij baada ya kuichapa Benin mabao 4-1 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jana.

 

9 years ago

MillardAyo

Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka PSG, kisa? nahodha wa PSG Thiago Silva kaamu hivi ….

Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden ambaye ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Sweden mara 10 Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka katika klabu yake ya Paris Saint Germain ya Ufaransa. Mshambuliaji huyo ambaye mkataba wake unamalizika mwezi June 2016 na anatajwa kutaka kuhama klabu hiyo. Sababu za Zlatan Ibrahimovic kutaka kuihama klabu ya PSG, ni kutokana na […]

The post Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka PSG, kisa? nahodha wa PSG Thiago Silva kaamu hivi …. appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uefa: Leverkusen yairarua Zenit 2-1

Bayer Leverkusen ya Ujerumani imeishushia kipigo Zenit St Petersburg ya Urusi cha mabao 2-1 katika mechi ya Kombe la Uefa

 

9 years ago

BBC

Borussia Dortmund 3-0 Bayer Leverkusen

Aubameyang scores for Borussia Dortmund in a 3-0 victory over Bayer Leverkusen, their 11th consecutive win.

 

9 years ago

MillardAyo

Tutegemee kumuona Chicharito Arsenal January? msikie mkurugenzi wa Bayer Leverkusen …

Mshambuliaji wa kimataifa wa Mexico ambaye amewahi kuichezea klabu ya Man United kwa miaka kadhaa Javier Hernandez Chicharito kabla ya mwaka 2015 kuamua kujiunga na klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani, amekuwa akihusishwa kuhitajika na klabu ya Arsenal ya Uingereza. January 3 mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo Rudi Voller ameongelea uwezekano wa mchezaji huo kuondoka ndani […]

The post Tutegemee kumuona Chicharito Arsenal January? msikie mkurugenzi wa Bayer Leverkusen … appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA

Wadau mbali mbali wa mchezi wa Soka jijini Dar es Salaam,leo wamekutana pamoja kwenye viwanja vya Tabata Shule katika Bonanza la kumuenzi Marehemu Omary Changa (pichani) aliyewahi kuwa Mchezaji katika timu za Yanga,JKT Ruvu,Kagera Suger pamoja na Moro United aliefariki dunia mwezi uliopita.Bonanza hilo limefanyika maalum kwa ajili ya kuchangisha fedha za kuisaidia familia ya Marehemu Changa ikiwa ni pamoja na kuweza kufanikisha kisomo cha Arobaini yake.  Mshambuliaji wa Pembeni wa timu ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Chelsea yalazwa 1-3 na PSG

Wawakilishi wa Uingereza Chelsea walilazwa mabao 3-1 na PSG .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani