Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tutegemee kumuona Chicharito Arsenal January? msikie mkurugenzi wa Bayer Leverkusen …

Mshambuliaji wa kimataifa wa Mexico ambaye amewahi kuichezea klabu ya Man United kwa miaka kadhaa Javier Hernandez Chicharito kabla ya mwaka 2015 kuamua kujiunga na klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani, amekuwa akihusishwa kuhitajika na klabu ya Arsenal ya Uingereza. January 3 mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo Rudi Voller ameongelea uwezekano wa mchezaji huo kuondoka ndani […]

The post Tutegemee kumuona Chicharito Arsenal January? msikie mkurugenzi wa Bayer Leverkusen … appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBC

Borussia Dortmund 3-0 Bayer Leverkusen

Aubameyang scores for Borussia Dortmund in a 3-0 victory over Bayer Leverkusen, their 11th consecutive win.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uefa: Leverkusen yairarua Zenit 2-1

Bayer Leverkusen ya Ujerumani imeishushia kipigo Zenit St Petersburg ya Urusi cha mabao 2-1 katika mechi ya Kombe la Uefa

 

11 years ago

BBCSwahili

PSG yaifunza soka Leverkusen

Paris St-Germain iliilaza Bayer Leverkusen 4-0 katika mchuano wa ligi ya mabingwa barani Ulaya

 

10 years ago

Bongo5

Tu8 January haina uhusiano wowote na January Makamba — Fid Q

Rapper Fareed Kubanda aka Fid Q amedai kuwa kampeni aliyoanzisha mwaka jana ya Tu8 January ambayo ilishuhudia kufanyika kwa ziara za wasanii katika baadhi ya maeneo nchini, haina uhusiano wowote na January Makamba. Akiongea kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen ya Kenya, Fid alisema kampeni hiyo ilijihusisha na kuwataka vijana kujitokeza kwenda kujiandikisha […]

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8 JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO

Wasanii wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la Tuo8January,hapo jana katika viwanja vya sabasaba mjini Morogoro. Msanii mwingine wa hip hop katika anga ya Bongofleva,ambaye amekuwa akifanya vyema kwenye muziki huo,Niki wa Pili akitumbuiza katika jukwaa la wazi la Tuo8Januari… ...

 

10 years ago

Mwananchi

January,makamba,wanaCCM,halmashauri,Taifa,January,Membe,wagombea,mapinduzi,chama,maoni,Amina,Migiro

Wagombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wametoa maoni yao kwa kupitishwa katika tano bora.

 

11 years ago

Mwananchi

Tutegemee tena Bajeti ya sigara, pombe, soda?

Bajeti ya Serikali kwa mwaka ujao wa fedha itawasilishwa kesho bungeni mjini Dodoma.

 

9 years ago

Vijimambo

Nay wa Mitego Amvaa January Makamba..Adai January Ndio Mnunuzi Mkuu wa Akina Dr Slaa, Lupumba, Twaweza na Wasanii


Msanii wa bongo fleva, Nay wa Mitego amemvaa mjumbe wa kamati ya Kampeni ya CCM,January Makamba na kudai yeye ni mnunuaji mkuu wa tafiti na wasanii kwa lengo la kukisaidia chama chake.Nay alimjibu January Makamba aliyepost ujumbe ukionyesha kushangaa tuhuma dhidi ya CCM kuwa imekuwa ikinunua wanasiasa,tafiti pamoja na wasanii kwa lengo la kuulaghai umma.
"Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Whatsapp yanunuliwa na Facebook, nini tutegemee?

Kama ulikuwa haufahamu, habari kuu katika ulimwengu wa Teknohama kwa siku ya leo ni Facebook kuinunua Whatsapp kwa bei ya dola bilioni 19.   Nunuzi hilo ni la programu pekee na siyo kampuni ingawa wafanyakazi wa whatsapp watajiunga na timu ya Facebook moja kwa moja, mission za whatsapp zitaendelea kubaki kama zilivyo, alieleza Jan Koum ambaye ni muanzilishi wa whatsapp.
Kwa wasio fahamu, whatsapp ni moja ya programu ya simu za mkononi inayokuwezesha kutuma ujumbe wa simu kupitia kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani