PSPF yakaribishwa kuwekeza TSN
KUTOKANA na kuzidi kujiimarisha katika uwekezaji wa miradi mbalimbali nchini, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSPF), umetakiwa kuangalia uwezekano wa kufanya kazi kwa karibu na Kampuni ya Magazeti ya Serikali, TSN, ukiwemo ushirikiano katika uwekezaji.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
PSPF kuwekeza zaidi katika vitega uchumi
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unatarajia kuwekeza zaidi kwenye vitega uchumi vya muda mrefu, ili kulinda thamani ya michango ya wanachama wake na kulipa mafao bora zaidi....
11 years ago
Michuzi
Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar



11 years ago
Michuzi
Mh. Kabaka atembelea Banda la PSPF sabasaba, Mrisho Mpoto ajiunga PSPF


11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar es Salaam

Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...
10 years ago
GPL
BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA
11 years ago
Michuzi.jpg)
Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Daily News23 May
Nderumaki picked new TSN ME
Daily News
Daily News
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Mr Gabriel Nderumaki Managing Editor of Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN). A statement from the Directorate of Presidential Communications yesterday quoted the Chief Secretary, Ambassador ...
10 years ago
Habarileo24 Mar
Tuma ateuliwa DME wa TSN
BODI ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) inayochapisha Daily News, Sunday News, HabariLEO, HabariLEO Jumapili na SpotiLEO, imemteua Mhariri wa Daily News, Tuma Abdallah (50) kuwa Naibu Mhariri Mtendaji wa magazeti ya serikali.
11 years ago
Habarileo23 May
Nderumaki Mhariri Mtendaji TSN
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Gabriel Nderumaki, kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), wachapishaji wa magazeti ya Habari Leo, Habari Leo Jumapili, Spoti Leo, Daily News na Sunday News.