Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RADIO 5 YAKULETEA BACK COLLEGE BASH NDANI YA NEW LANDMARK RESORT JUMAMOSI HII


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

SHUJAAZ RADIO SHOW NA DJ TEE: Kuanza kuruka hewani Jumamosi hii East Africa Radio

EAR - Online Promo (1)

Unamkumbuka yule dogo aliyeanzisha redio stesheni yake nyumbani kwao? Bila shaka umewahi kusoma story yake kwenye kijarida cha kila mwezi kiitwacho SHUJAAZ ambacho husambazwa na gazeti la Mwanaspoti na vibanda vya Coca Cola. Sasa hivi, dogo ana habari mpya na njema kwa vijana na wote  wanaomfuatilia. Nyota imeanza kung’ara upande wake na sasa redio kubwa Tanzania EAST AFRICA RADIO imeamua kumpa nafasi aweze kusikika hewani na show yake mpya iitwayo SHUJAAZ.

“Show yangu itahusika na...

 

11 years ago

GPL

MISS UNI-COLLEGE TEMEKE WATEMBELEA GLOBAL, KUCHUANA JUMAMOSI HII DAR LIVE

Warembo wanaowania taji la Miss Uni-College Temeke wakiwa na magazeti ya Global Publishers. Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kulia) akifafanua jambo kwa warembo hao.…

 

10 years ago

CloudsFM

DJ BULLA NDANI YA BBA WIKI JUMAMOSI HII

Dj kutoka Clouds FM,Dj Bullah wiki hii atakuwa ndani ya jumba la Big Brother weekend hii nchini Afrika Kusini kuwapa burudani washiriki wa shindano hilo.

 

11 years ago

Michuzi

Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi hii

Haika Lawere akiwa tayari kwa mahojiano na Kwanza Production ya Washington DC  Katika NJE-NDANI ya Kwanza Production na Border Radio wiki hii, mbali na habari kuhusu Afrika, utasikia mahojiano yangu na Haika Lawere. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania Amekuwa mkarimu sana kujiunga nami hapa Maryland USA kuzungumza mengi kuhusu maisha na ujasiriamali. Haika Lawere akizungumza na wanawake kwenye tukio la wanawake waTanzania Washington DC
Photo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanza Ku-Jembeka na Sauti SOL Jumamosi hii Feb 21 ndani ya Jembe Beach

300 x 150m

Hatimaye ule mpango mzima wa kuzifungulia burudani ulioasisiwa na redio mpya ya jijini Mwanza JEMBE FM na kubatizwa jina ‘JEMBEKA’ unaanza rasmi jumamosi ya wiki hii tarehe 21/02/2015 ndani ya kiota cha burudani cha kitalii Jembe Beach Mwanza.

Burudani itakayo fungua mpango huo wa ‘JEMBEKA’ ni kutoka kwa kundi maarufu Afrika Mashariki lililovuka mipaka na sasa muziki wake kuchezwa hadi barani Ulaya kundi la Sauti Sol toka nchini Kenya ambao watapiga muziki LIVE.

Vijana wa Nyumbani JJ Band...

 

10 years ago

GPL

MWANZA KU-JEMBEKA NA SAUTI SOL JUMAMOSI HII FEB 21 NDANI YA JEMBE BEACH‏

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Seif Rashid machapisho mbalimbali baada ya kuzindua kongamano la siku mbili la kimataifa la watoto walio katika mazingira hatarishi Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani