Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rahaleo walia na uhaba wa majengo

KITUO cha Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) cha   Rahaleo Mtwara hakina majengo ya kuwalelea watoto yatima takriban 53 kituoni hapo. Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki na mkurugenzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Zanzibar akabidhi vifaa mbalimbali kwa Skuli ya Rahaleo

Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mhe Nassor Salim Jazira akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa kwa Wananchi wa Jimbo lake iliofanyika katika Skuli ya Msingi Rahaleo Zanzibar.Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Mhe. Zainab Omar, akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Rahaleo na wanafunzi wa skuli hiyo katika hafla ya kukabidhi vifaa vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mhe. Nassor Salim Jazira.
Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walimu walia uhaba wa nyumba Bunda

WALIMU wa shule ya Msingi Nafuba, iliyoko katika kisiwa ndani ya Ziwa Victoria, Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wanafanya kazi katika mazingira magumu, ikiwa ni pamoja na familia mbili kuishi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Rahaleo walalamika

 WALIMU wa shule ya msingi ya Viziwi Rahaleo, iliyopo Manispaa ya Mtwara/Mikindani, wanalalamikia mazingira magumu ya kazi kutokana na kutumia chumba kimoja cha darasa kama ofisi na wanafunzi tangu kuanzishwa kwake...

 

10 years ago

Vijimambo

VIFAA WANANCHI WA JIMBO LA RAHALEO

Wanafunzi wa Skuli ya msingi Rahale wakimpokea Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Mhe Zainab Omar alipowasili katika viwanja vya Skuli hiyo kukabidhi Vifaa viliotolewa na Mwakilishi wa Rahaleo kwa Wananchi wa jimbo hilo.Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Mhe. Zainab Omar akiwasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi Rahaleo kuhudhuria hafla ya kukabidhi Vifaa kulia Mwakilishi wa Rahaleo na kushoto Mwenyekiti wa Kamati ya Skuli ya Rahaleo...

 

9 years ago

Vijimambo

Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Urais wa Chama cha CHAUMMA Komba Wapya Rahaleo.

Mgombea Urais kupitia Chama cha CHAUMMA Mhe Mohammed Masoud Rashid akiwasili katika viwanja vya Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni yake katika viwanja vya Komba Wapya rahaleo kuzindua kampeni yake ya kugombea Urais wa Zanzibar. akiwasalimia Wananchi akiwapungua mkono.Mgombea Urais kupiia Chama cha CHAUMMA Mhe Mohammed Masoud Rashid akiwa na viongozi wa Chama hicho wakati wa kampeni yake,Katibu wa Wanawake Taifa Bi Salma Mohammed akizungumza wakati wa mkutano huo wa uzinduzi wa Kampeni ya Urais...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Majimbo ya mkoa wa Unguja Magharibi ya Magomeni, Mji Mkongwe, Mpendae na Rahaleo

Magomeni ni kati ya majimbo yaliyoweka rekodi ya juu ya ushindani wa kisiasa mwaka 1995 wakati mfumo wa vyama vingi ulipoingia nchini. Chama Cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) viliingia kwenye vita kubwa vikisindikizwa na vyama vingine vitano ambavyo ni TPP, Tadea, NRA, UDP na Chadema.

 

10 years ago

Vijimambo

Bonaza Masauni Cup Lafana Viwanja vya Malindi Mnazi Mmoja Miembeni Yatoka Kivua Mbele dhidi ya Rahaleo kwa Mabao 4---0

Mgeni rasmi wa mchezo wa Bonaza kati ya Rahaleo na Miembeni Khamis Mbeto akisalimiana na wachezaji wa timu ya Rahaleo kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Miembeni, mchezo uliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja. timu ya Rahaleo imekubali kipigo cha mabao 4--0  Mgeni rasmi wa mchezo wa Bonaza Masauni Cup, kati ya Rahaleo na Miembeni Khamis Mbeto akisalimiana na wachezaji wa timu ya Miembeni kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Rahaleo  mchezo uliofanyika katika viwanja vya mnazi...

 

11 years ago

Michuzi

club rahaleo show ndani ya mtandao kupitia TBC 1 chini ya manju wa muziki nchini Masoud Masoud mariam wa migomba

Kwa video hii na zingine kibao nenda youtube  kisha search 'Club Rahaleo show'

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhaba wa maji TZ

Haba na Haba Tv ilisafiri mpaka mkoani Tanga wilayani pangani kuona namna wananchi wa huko wanavyohangaika kila kuchao kutafuta maji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani