Raia wa Marekani akatwa shingo na IS
Kand ya video inaonyesha mauaji ya mtu kwa utoa huduma za misaada raia wa Marekani Abdul Rahman Kassig
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdNWPxM3PKZq0FhnFAVl68cBeQ4vjIzWMHApBg*T5AzdGg4nxyyNMb3xtjfOBkJ3X0h44GGvyvWpTR38QKiDzz-E/KACHINJWA2.jpg?width=650)
MWANDISHI WA MAREKANI AKATWA KICHWA
Mwandishi wa habari wa Marekani aliyekatwa kichwa, James Wright Foley (kushoto), akiwa amevishwa kanzu maalum. Kabla ya kuuawa kwake, Foley, aliwataka marafiki, wanafamilia wake na wapenzi wake wote kupambana na “wauaji wangu wa kweli†ambao ni serikali ya Marekani.…
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Raia wa Mexico wanaihama Marekani
Utafiti ulioendeshwa nchini Marekani unaonyesha raia wengi wa Mexico wanaondoka kwenye taifa hilo kubwa zaidi ulimwenguni ukilinganisha na idadi ya wanaoingia nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Hatukushambulia raia Somalia:Marekani
Marekani imesema kuwa bado inatafakari matokeo ya shambulio la anga lililofanyika Kusini mwa Somali.
10 years ago
BBCSwahili22 May
Marekani yakiri kuua raia
Marekani imekiri, kwa mara ya kwanza kuhusika na mapigano ya anga dhidi ya kikosi cha kiislamu yaliyopelekea baadhi ya raia kuuawa.
10 years ago
GPL![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/06/141206181427__79555812_soomerskorkie3.jpg)
RAIA WA MAREKANI NA A.KUSINI WAUAWA
Raia wa marekani Luke Somers na mwenzak wa Afrika kusini Pierre Korkie wameuawa na wapiganaji wa kundi la Alqaeda nchini Yemen. Mwaandishi wa Mmarekani, Luke Somers na mwalimu raia wa Afrika Kusini, Pierre Korkie wameuwawa na wapiganaji wa Al-Qaeda nchini Yemen katika juhudi za kuwaokoa. Oparesheni hiyo ya kuwaokoa iliongozwa na vikosi maaulum vya Marekani na Yemen katika jimbo la kusini la Shabwa. Mwalimu raia wa Afrika...
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Raia wa Marekani kuondoka Burundi
Marekani imetaka Raia wake walio nchini Burundi kuondoka nchini humo
11 years ago
BBCSwahili13 Jun
Marekani:'Sudan inashambulia raia wake'
Marekani imeadai kuwa Sudan inaendeleza mashambulio dhidi ya raia katika majimbo ya Kordofan kusini na Blue Nile .
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Polisi waua raia St Louis nchi Marekani
Vurugu zimetokea katika mji wa Missouri nchini Marekani kufuatia kifo cha kijana mmoja Mmarekani mweusi kupigwa risasi na polisi.
5 years ago
CCM Blog08 May
RAIA WA CHINA MTAFITI WA CORONA AUAWA MAREKANI
![Bing Liu](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/183AF/production/_112174299_bingliu2.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania