Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais amzuia mwanamume kujiua Uturuki

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alimshawishi mwanamume aliyetaka kujiua kwa kujirusha kutoka kwa daraja kubadilisha nia yake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Uturuki awasili Somalia

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amewasili katika mji mkuu wa Mogadishu nchini Somali ambapo anafungua miradi ya ujenzi

 

10 years ago

BBCSwahili

Uturuki: Kijana akamatwa kumtukana Rais

Polisi nchini Uturuki wanamshikilia mwanafunzi wa sekondari kwa tuhuma za kumtukana Rais Recep Tayyip Erdogan.

 

10 years ago

StarTV

Rais wa zamani wa Uturuki afariki dunia

Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 ameaga dunia kwenye hospitali moja mjini Ankara akiwa na umri wa miaka 97.

Mwaka uliopita alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kufuatia kuhusika kwake kwenye mapinduzi ya kijeshi.

Chini ya utawala wake watu kadha walinyongwa , maelfu wakakamatwa na vyama vya kisiasa vikapigwa marufuku.

Vyombo vya habari vilivyotangaza kinyume na mapinduzi hayo vilifungwa .

 

Generali Evren...

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa Uturuki kumchagua rais mpya

Raia wa Uturuki wanapiga kura hii leo kumchagua rais wao moja kwa moja kwa mara ya kwanza.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Uturuki aitisha uchaguzi mkuu

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, ametangaza uchaguzi mkuu. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika mwezi Novemba mosi mwaka huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani wa Uturuki aaga dunia

Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 ameaga dunia

 

10 years ago

GPL

RAIS WA ZAMANI WA UTURUKI, KENAN EVREN AAGA DUNIA

Kenan Evren enzi za uhai wake. ALIYEWAHI kuwa Rais wa Uturuki, Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 amefariki dunia jana kwenye hospitali moja mjini Ankara, Uturuki akiwa na umri wa miaka 97. Kenan alikuwa Rais wa Uturiki mwaka 1980 hadi 1989.
Mwaka uliopita alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kufuatia kuhusika kwake kwenye mapinduzi ya kijeshi. Chini ya utawala wake watu...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI.


************************************Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davulaglu, Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Prof.Elizabeth Kiondo, Mstahiki Meya kutoka Uturuki, Wawekezaji na Wafanyabiashara zaidi ya 40 kutoka Nchini Uturuki waliokuja Kutazama na kuchangamkia fursa za Uwekezaji wa Viwanda jijini Dar es salaam.Katika Mazungumzo hayo RC Makonda ...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS-MAZINGIRA BINILITH MAHENGE ATEMBELEWA NA MABALOZI WA UTURUKI LEO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge akiukaribisha ujumbe wa Mabalozi waliotembelea Ofisini kwake wakiongozwa na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt Ujumbe huo ulifika kwa ajili ya kuzungumzia maswala ya mabadiliko ya Tabia Nchi kwa Nchi za zinazoendelea.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge akiongea jambo na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt   aliyeongoza Ujumbe wa Mabalozi waliofika Ofisini kwake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani