Rais Kikwete amsifu Mkapa
Rais Jakaya Kikwete, amempongeza Rais mstaafu Benjamin Mkapa, kwa kuchangia historia ya Tanzania kutokana na uamuzi wake wa kuchapisha hotuba alizozitoa katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake .
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo28 Nov
Mkapa amsifu Kikwete kwa UDOM
RAIS mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa amepongeza jitihada za Rais wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete kwa kutekeleza kwa vitendo dhana iliyokuwepo ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-cra3smLrxF8/VQ66_nz5wRI/AAAAAAAHMLg/sSM1SlTy3Ys/s72-c/unnamed%2B(54).jpg)
Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia
![](http://3.bp.blogspot.com/-cra3smLrxF8/VQ66_nz5wRI/AAAAAAAHMLg/sSM1SlTy3Ys/s1600/unnamed%2B(54).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-a0pRN5HFuA0/VQ66_UT049I/AAAAAAAHMLc/khLtmIT_i0g/s1600/unnamed%2B(56).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X422Ur7jOR4/VQ67A4qaJQI/AAAAAAAHMLs/dr0qghe3iko/s1600/unnamed%2B(55).jpg)
9 years ago
MichuziMKAPA AMPONGEZA RAIS KIKWETE, NSSF UJENZI DARAJA LA KIGAMBONI
9 years ago
Habarileo17 Sep
Zitto amsifu Kikwete
MGOMBEA ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amepongeza mafanikio yote ya Rais Jakaya Kikwete, yaliyopatikana katika mkoa wa Kigoma katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wake.
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
Kinana amsifu Mama Salma Kikwete kuanzisha shule ya WAMA Nakayama
Katibu Mkuu wa CCM, ADULRAHMAN Kinana akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA aliposimama kwa muda akitokea ziara ya Kisiwa cha Mafia kwenda Dar es Salaam. Alimpongeza Mama Salma Kikwete kwa kitendo cha kuanzisha shule hiyo yenye manufaa makubwa kwa watoto ya kike wanaotoka sehemu mbalimbali nchini kwenda kusoma hapo. Pia alitumia furssa hiyo kuwapongeza walimu wa shule hiyo kwa kazi kubwa wanaoifanya kiasi cha kufanikisha wanafunzi kufanya vizuri katika mtihani wa...
9 years ago
Habarileo12 Oct
Mkapa awapongeza Kikwete, NSSF
RAIS mstaafu Benjamin Mkapa amempongeza Rais Jakaya Kikwete pamoja na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kusimamia utekelezaji wa ujenzi wa daraja la Kigamboni linalotarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Dk Magufuli awapa pole Kikwete, Mkapa
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s72-c/shemeji.jpg)
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s640/shemeji.jpg)
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...