Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI APONGEZWA KUPAMBANA NA CORONA










…………………………………………………………………………….

Na Mwandishi wetu Mihambwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepongezwa kwa hatua zote alizochukuwa za kupambana na ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi Corona ambapo amefanikiwa kulinda usalama na uhai wa Raia wake.

Hayo yamesemwa leo Jumatano Mei 20, 2020 na Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu kwenye mkutano na Wananchi uliofanyika Kijiji cha Ruvuma kilichopo kata ya Mihambwe wakati wa ziara ya kikazi ya Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI APONGEZWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA, INASAIDIA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA

Na Mbaraka Kambona, Dodoma
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa kuwasamehe wafungwa 3973 uliofanywa na Rais Dk. John Magufuli (pichani) ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi  ya  maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona.

Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona. 

Alieleza   kuwa msamaha huo ni...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI: YEYOTE ATAKAYEPOKEA VIFAA VYA KUPAMBANA NA CORONA NA VIKIPIMWA NA KUKUTWA NA VIRUSI HIVYO ASHITAKIWE NA KESI YA MAUAJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, ameagiza kuwa mtu yeyote atakayepokea vifaa vya kupambana na Virusi vya Corona, vikishapimwa na Maabara Kuu ya Tanzania na kukutwa vina Virusi vya hivyo, basi ashitakiwe na apewe kesi ya jinai.

Rais Magufuli ameyabainisha hayo leo Mei 21, 2020, Ikulu ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma, mara baada ya kuwaapisha Mabalozi wa nchi mbalimbali , Mkurugenzi wa TAKUKURU na Katibu Tawala Mkoa na kuongeza kuwa vitu vya bure vina...

 

5 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA MABOHORA YAENDELEA KUPELEKA MISAADA HOSTELI YA MAGUFULI KUPAMBANA NA UGONJWA WA CORONA

April 12 ,2020  Jumuiya ya MABOHORA Dsm, imeendelea kupeleka vifaa muhimu Magufuli Hostel kuendelea kusaidia Juhudi ya COVID 19 RESPONSE TEAM kupambana na janga la CORONA VIRUS. Inshallah mungu atusaidie wote kuendelea kadiri ya uwezo wetu kusaidia Serekali yetu na Nchi yetu kupambana na kuishinda hiyo CORONA VIRUS. Ameen


 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli atuma ndege Madagascar kuchukua 'dawa ya corona'

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli leo Jumapili Mei 3 amesema atatuma ndege Madagascar kwenda kufuata dawa ya mitishamba ambayo rais wa nchi hiyo anadai kuwa inatibu corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rais Magufuli asema ana imani ugonjwa wa corona umeondolewa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu

Rais Magufuli aliwaomba raia wa taifa hilo kutumia siku tatu kuanzia tarehe 17 hadi 19 Aprili 2020, kumuomba Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na janga la ugonjwa wa corona.

 

9 years ago

StarTV

CWT Iringa yaunga mkono juhudi za Rais Magufuli kupambana na ubadhirifu

CHAMA cha walimu Tanzania CWT tawi la Iringa kimesema jitihada zinazofanywa na uongozi wa awamu ya tano ya rais Dr.John Pombe Magufuli  zinapaswa kuungwa mkono na watanzania wote wenye fikra pevu na nia njema ya maendeleo ya Taifa.

Zuio la posho kwa watumishi wa serikali, matumizi holela ya fedha za umma pamoja na kutafuta njia mbadala ya namna ya kusherekea siku ya Uhuru na maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani, ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa na tija  kwa jamii badala ya manufaa ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wahitimu wa Vyuo Vikuu nchini watakiwa kumsaidia Rais Dkt. Magufuli kupambana na ufisadi-Dr.Walukani

IMG_8643

Proffessa, John Adamson Mwakilima akitunuku Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika Maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary USA chenye tawi lake Kata ya Mlandizi mkoani hapa mhitimu Walukani Luhamba ambaye ni Ofisa Mfawidhi wa Sumatra Mkoa wa Tanga juzi.

DSC00451

Dr.Walukani Luhamba akipongezwa na Familia yake mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary USA...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi viongozi wa Afrika wanavyojikata mishahara kupambana na corona

Rais wa Rwanda na serikali yake aungana na wazo la rais wa Kenya na Malawi kutaka mishahara yao kukatwa ikiwa ni jitihada za kukabiliana na ugonjwa wa corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani