RAIS OBAMA ACHEZA WIMBO WA SAUTI SOUL
![](http://img.youtube.com/vi/hIs4XuMRov8/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Diamond, Sauti Soul wafanya kweli Mauritius
NA MWANDISHI WETU
MKALI wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond Platinumz’ na wakali wa Afro Pop kutoka Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol, wamefanya onyesho kabambe katika hitimisho la Tamasha la 2015 Content Showcase Extravaganza, lililofanyika visiwa vya Mauritius.
Onyesho hilo lililofanyika katika hitimisho la wiki ya furaha, burudani na mafanikio makubwa kwa Kampuni ya MultiChoice Africa, liliwakutanisha waandishi zaidi ya 90 kutoka kote Afrika, wasanii mashuhuri na...
9 years ago
Bongo514 Sep
Rais Obama abandika picha aliyopiga na Sauti Sol wakicheza ‘Sura Yako’ kwenye ukuta wa White House
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Sauti Soul wachukua tuzo ya utanashati Afrika Mashariki
KAMPALA, UGANDA
KUNDI la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol, wanazidi kujitengenezea jina baada ya juzi kufanikiwa kuchukua tuzo ya kundi bora la wasanii watanashati Afrika Mashariki.
Tuzo hizo zilitolewa Kampala, nchini Uganda, kwenye ukumbi wa Abryanz Style, ambapo tuzo hizo zilipambwa na wasanii mbalimbali kufanya shoo.
Kundi hilo kwa sasa limekuwa na jina kubwa mara baada ya kuanza kutajwa kwenye tuzo za MTV EMA mwaka 2014, MTV MAMAs na BET, hivyo tuzo hiyo ambayo wameipata...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Ushaiona video hii ya pacha wa Sauti Soul ‘H_art The Band’
Video ya Nikikutazama iliyoimbwa na H_art the Band
Baada ya kubamba na Ngoma ya Uliza Kiatu walioitoa mwaka jana, sasa bendi ya muziki kutoka Kenya ambayo unaweza kuiita pacha wa Sauti Soul iitwayo H_art The Band imetoa ngoma nyingine.
H_art the Band wakiwa katika picha ya pamoja.
Ngoma hiyo imepikwa na Kevin Bosco Jr na ukiitazama ipo katika staili f’lan inayokufanya usiichoke kuitazama.
Stori: Andrew Carlos/GPL
10 years ago
CloudsFM04 Aug
Alikiba kutumbuiza jukwaa moja na Mafikizolo, Black motion, Beatenberg na Sauti soul tarehe 15 August
Kingkiba au Alikiba ataperfom jukwaa moja kwa mara ya kwanza na kundi la wasanii wakubwa kutoka Afrika kusini Mafikizolo, Black Motion, Beatenberg, Sol M na Kenya number one music group Sauti soul, Jumamosi ya wiki ijayo tarehe 15 Agust kwenye Tamasha la ‘Party at the Park’ litakalofanyika The Green, Oysterbay, Kenyatta Drive.
9 years ago
Dewji Blog15 Aug
Alikiba ,Mafikizolo, Black motion, Sauti soul ndani ya jukwaa moja leo katika Party at the Park!
Mpango mzima wa shoo ya leo hii ndio huu hapa..
Na Andrew Chale wa modewjiblog
(Kinondoni Dar es Salaam). Jiji la Dar es Salaam na viunga vyake siku ya leo lipo katika pilikapilika za burudani za hapa na pale huku kubwa ni pamoja na shoo moja kabambe ya ‘PARTY AT HE PARK’ itakayofanyika The Green, Oysterbay, Kenyatta Drive itakayowakutanisha kwa mara ya kwanza Mfalme wa muziki Bongo
Ali Kiba au KingKiba ambaye ataangusha shoo kali kwa mara ya kwanza jukwaa moja na kundi la wasanii wakubwa...
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Sauti Sol wapiga shoo Ikulu ya Obama
NEW YORK, MAREKANI
KUNDI la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol, wamefanikiwa kuingia Ikulu ya nchini Marekani na kufanya onyesho la muziki wao kwa Rais Barack Obama.
Wasanii hao walifika Ikulu hiyo kwa mwaliko wa rais huyo, baada ya mazungumzo yao walisimama na kuimba, jambo ambalo lilimnyanyua Obama, akashirikiana na wasanii hao kucheza wimbo waliokuwa wakiuimba.
Wasanii hao wanaweka historia yao ya kuingia ikulu za marais mbalimbali ambapo awali walishaingia Ikulu ya Kenya, walikutana...
9 years ago
Bongo528 Oct
Wimbo wa Alikiba na Sauti Sol upo njiani kuachiwa