Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond, Sauti Soul wafanya kweli Mauritius

sauti solNA MWANDISHI WETU

MKALI wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond Platinumz’ na wakali wa Afro Pop kutoka Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol, wamefanya onyesho kabambe katika hitimisho la Tamasha la 2015 Content Showcase Extravaganza, lililofanyika visiwa vya Mauritius.

Onyesho hilo lililofanyika katika hitimisho la wiki ya furaha, burudani na mafanikio makubwa kwa Kampuni ya MultiChoice Africa, liliwakutanisha waandishi zaidi ya 90 kutoka kote Afrika, wasanii mashuhuri na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Diamond na Zari the Boss Lady wafanya kweli!

Diamond Platnumz na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari the Boss Lady hawakuishia kusafiri tu kwenye ndege na siti moja kutoka Afrika Kusini. Ukweli ni kuwa walikuwa wamepanga kukutana. Ni movie inaendelea? Diamond na Zari Picha za wawili hao wakiwa nje ya hoteli ya Double Tree jijini Dar zinawaonesha wakifurahia muda wa faragha pamoja […]

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mtanzania

Sauti Soul wachukua tuzo ya utanashati Afrika Mashariki

sauti-solKAMPALA, UGANDA

KUNDI la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol, wanazidi kujitengenezea jina baada ya juzi kufanikiwa kuchukua tuzo ya kundi bora la wasanii watanashati Afrika Mashariki.

Tuzo hizo zilitolewa Kampala, nchini Uganda, kwenye ukumbi wa Abryanz Style, ambapo tuzo hizo zilipambwa na wasanii mbalimbali kufanya shoo.

Kundi hilo kwa sasa limekuwa na jina kubwa mara baada ya kuanza kutajwa kwenye tuzo za MTV EMA mwaka 2014, MTV MAMAs na BET, hivyo tuzo hiyo ambayo wameipata...

 

9 years ago

Global Publishers

Ushaiona video hii ya pacha wa Sauti Soul ‘H_art The Band’

Video ya Nikikutazama iliyoimbwa na H_art the Band

Baada ya kubamba na Ngoma ya Uliza Kiatu walioitoa mwaka jana, sasa bendi ya muziki kutoka Kenya ambayo unaweza kuiita pacha wa Sauti Soul iitwayo H_art The Band imetoa ngoma nyingine.

10702219_467380136737866_5949051621481847744_n

H_art the Band wakiwa katika picha ya pamoja.

Ngoma hiyo imepikwa na Kevin Bosco Jr na ukiitazama ipo katika staili f’lan inayokufanya usiichoke kuitazama.

Stori: Andrew Carlos/GPL

 

10 years ago

CloudsFM

Alikiba kutumbuiza jukwaa moja na Mafikizolo, Black motion, Beatenberg na Sauti soul tarehe 15 August

ali

Kingkiba au Alikiba ataperfom jukwaa moja kwa mara ya kwanza na kundi la wasanii wakubwa kutoka Afrika kusini Mafikizolo, Black Motion, Beatenberg, Sol M na Kenya number one music group Sauti soul, Jumamosi ya wiki ijayo tarehe 15 Agust kwenye Tamasha la ‘Party at the Park’  litakalofanyika The Green, Oysterbay, Kenyatta Drive.

 

9 years ago

Dewji Blog

Alikiba ,Mafikizolo, Black motion, Sauti soul ndani ya jukwaa moja leo katika Party at the Park!

aliMpango mzima wa shoo ya leo hii ndio huu hapa..

Na Andrew Chale wa modewjiblog

(Kinondoni Dar es Salaam). Jiji la Dar es Salaam na viunga vyake siku ya leo lipo katika pilikapilika za burudani za hapa na pale huku kubwa ni pamoja na shoo moja kabambe ya ‘PARTY AT HE PARK’ itakayofanyika The Green, Oysterbay, Kenyatta Drive itakayowakutanisha kwa mara ya kwanza Mfalme wa muziki Bongo

Ali Kiba au KingKiba ambaye ataangusha shoo kali kwa mara ya kwanza  jukwaa moja na kundi la wasanii wakubwa...

 

10 years ago

GPL

YAMOTO BAND WAFANYA KWELI ESCAPE ONE JIJINI DAR

Yamoto Band kazini. Sehemu ya mashabiki wakijimwaya. Hawa nao wakioneshana maujuzi.…

 

10 years ago

Michuzi

FFU-Ughaibuni wafanya kweli Liga Summer Festival 2015

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band maarufu kamaFFU ughaibuni ukipenda waite viumbe wa ajabu Anunnaki Alien juzi wikiendi walifanikiwa kuwadatisha washabiki wa muziki nchini Latvia katika maonyesho ya Summer Festival,yaliyofanyika Liga. Bendi hiyo yenye makao yake nchini Ujerumani inayoongozwa na mwanamuziki mahiri Ebrahim Makunja aka  Kamanda Ras Makunja,imejizolea umaarufu wa kimataifa kwa kutumia mdundo wake wa "Bongo Dansi" uliochanganywa na rumba la kukata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani