Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Myanmar kupokeza upinzani madaraka

Rais wa Myanmar, Thein Sein,amesema shughuli za kupokeza madaraka kwa chama cha upinzani utatafanyika kwa amani na utulivu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Myanmar aonya dhidi ya kuchagua upinzani

Rais wa Myanmar Thein Sein amewaonya raia wa nchi hiyo dhidi ya kupigia kura chama cha upinzani cha Aung San Suu-Kyi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani waamini utashinda uchaguzi Myanmar

Chama cha upinzani nchini Myanmar cha NLD kimesema kina Imani kitashinda uchaguzi wa kwanza huru kufanyika nchini humo katika kipindi cha miaka 25.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Myanmar ampongeza bi.Suu Kyi

Rais wa Myanmar Thein Sein amekipongeza chama cha upinzani cha Aung San Suu Kyi kwa kushinda uchaguzi mkuu ,msemaji wake ameiambia BBC.

 

9 years ago

BBCSwahili

Suu Kyi ahidi kuwa juu ya rais Myanmar

Kiongozi wa upinzani nchini Myanmar,Aung San Suu Kyi ameahidi kuwa ataongoza serikali ikiwa chama chake cha National League for Democracy kitashinda uchaguzi mkuu

 

10 years ago

KwanzaJamii

MADARAKA YA RAIS YAWAGAWA WAJUMBE BUNGE LA KATIBA

Suala la madaraka na majukumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, limezua mvutano katika baadhi ya kamati za Bunge Maalum la Katiba na kusababisha mojawapo kuziweka kiporo ibara za 72 na 73 za sura ya saba ili kutoa fursa kwa wajumbe kutafakari zaidi. Wajumbe waliotofautiana na kulazimika kuziweka kando ibara hizo ili kuendelea kujadili ibara nyingine za Rasimu ya Katiba kuwa ni  wa kamati namba 10 inayoongozwa na Anna Abdallah. Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo,  Salmin Awadh Salmin, alisema...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafafanua ukomo wa madaraka ya Rais na Mawaziri


Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ukomo wa madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwisho wa uhai wa Baraza la Mawaziri kwa kadri Tanzania inavyoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Jumapili, Oktoba 25, mwaka huu, 2015.


Taarifa iliyotolewa jioni ya leo, Jumatano, Oktoba 21, 2015, Ikulu, Dar es Salaam na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Yohana Sefue imesema kuwa Serikali imetoa ufafanuzi huo kuwasaidia wananchi kuelewa maelekezo na matakwa ya Katiba na Sheria kuhusu...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aanza kukabidhi madaraka nje

Rais Jakaya Kikwete amekabidhi madaraka ya Uratibu wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika ya Mazingira (CAHOSCC) kwa Rais wa Misri, Jenerali Abdel Fatteh El Sisi.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati zashauri madaraka zaidi ya Rais kupunguzwa

Paul KimitiPAMOJA na Rasimu ya Katiba mpya ya Jaji Joseph Warioba kupunguza madaraka ya Rais, kamati zilizotoa taarifa ya mwenendo wake jana zimependekeza madaraka zaidi kupunguzwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Waasi wamtaka Rais Kabila aachie madaraka

Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Kati Paul Joseph Mukungubila ameikosoa Serikali ya nchi hiyo na kumtaka Rais Joseph Kabila aondoke madarakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani