Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kamati zashauri madaraka zaidi ya Rais kupunguzwa

Paul KimitiPAMOJA na Rasimu ya Katiba mpya ya Jaji Joseph Warioba kupunguza madaraka ya Rais, kamati zilizotoa taarifa ya mwenendo wake jana zimependekeza madaraka zaidi kupunguzwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wajumbe Bunge la Katiba waridhia madaraka ya Rais kupunguzwa


Na Waandishi Wetu, Dodoma
BAADHI ya wajumbe wa kamati namba 12, wamekubaliana kupunguza majukumu ya Rais na kutengwa kwa orodha ya viongozi ambao Rais anaweza kuwateua endapo atafanya uteuzi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Paul Kimiti, alisema kamati yake pia imeridhia utaratibu wa uraia pacha.
Kimiti alisema wajumbe wa kamati yake wameona wapunguze majukumu ya Rais, ikiwa ni pamoja na kumtengea orodha ya viongozi, ambao anaweza kuwateua wakati...

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Myanmar kupokeza upinzani madaraka

Rais wa Myanmar, Thein Sein,amesema shughuli za kupokeza madaraka kwa chama cha upinzani utatafanyika kwa amani na utulivu.

 

10 years ago

Michuzi

Taasisi za kifedha zashauri kupunguza riba

Dkt Mary Nagu Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji akiongea kwenye kongamano la uwekezaji kwa mikoa ya ukanda wa ziwa Tanganyika lililofanyika mjini sumbawanga mwishoni mwa wiki. hawapo pichani washiriki wa kongamano hilo Washiriki wa kongamano la uwekezaji ambao ni wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wakifuatilia kwa umakini mjadala wa kongamano hilo kwenye uwanja wa Nelsoni Mandela Mjini Sumbanga Mkoani Rukwa.
Na Kibada Kibada Rukwa.
Waziri wa Uwekezaji na uwezeshaji Dkt Mary Nagu ...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafafanua ukomo wa madaraka ya Rais na Mawaziri


Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ukomo wa madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwisho wa uhai wa Baraza la Mawaziri kwa kadri Tanzania inavyoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Jumapili, Oktoba 25, mwaka huu, 2015.


Taarifa iliyotolewa jioni ya leo, Jumatano, Oktoba 21, 2015, Ikulu, Dar es Salaam na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Yohana Sefue imesema kuwa Serikali imetoa ufafanuzi huo kuwasaidia wananchi kuelewa maelekezo na matakwa ya Katiba na Sheria kuhusu...

 

11 years ago

Mwananchi

Waasi wamtaka Rais Kabila aachie madaraka

Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Kati Paul Joseph Mukungubila ameikosoa Serikali ya nchi hiyo na kumtaka Rais Joseph Kabila aondoke madarakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aanza kukabidhi madaraka nje

Rais Jakaya Kikwete amekabidhi madaraka ya Uratibu wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika ya Mazingira (CAHOSCC) kwa Rais wa Misri, Jenerali Abdel Fatteh El Sisi.

 

10 years ago

KwanzaJamii

MADARAKA YA RAIS YAWAGAWA WAJUMBE BUNGE LA KATIBA

Suala la madaraka na majukumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, limezua mvutano katika baadhi ya kamati za Bunge Maalum la Katiba na kusababisha mojawapo kuziweka kiporo ibara za 72 na 73 za sura ya saba ili kutoa fursa kwa wajumbe kutafakari zaidi. Wajumbe waliotofautiana na kulazimika kuziweka kando ibara hizo ili kuendelea kujadili ibara nyingine za Rasimu ya Katiba kuwa ni  wa kamati namba 10 inayoongozwa na Anna Abdallah. Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo,  Salmin Awadh Salmin, alisema...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KENYATTA AKABIDHI MADARAKA KWA ROTO TAYARI KWENDA ICC

Kenyatta amemkabidhi mamlaka kwa muda naibu wake William Ruto kwa siku mbili atakazokuwa nje. Mahakama ya kimataifa ya ICC, inajianda kuwa mwenyeji wa mkutano maalum wa siku mbili kuhusu kesi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ambaye atakuwa rais wa kwanza aliye mamlakani kufika mbele ya mahakama hiyo.Kenyatta anakabiliwa na tuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu anazodaiwa kutenda baada ya uchaguzi wa mwaka 2007.Mahakama hiyo inasama kuwa Kenyatta alihusia katika kupanga na kufadhili ghasia za...

 

9 years ago

Dewji Blog

Marekani yamwagia sifa Rais Kikwete kwa kuheshimu Katiba na kukabidhi madaraka

Jakaya-Kikwete1

Viongozi wa Marekani wamemwagia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) sifa kubwa za ujenzi na ulezi wa demokrasia, heshima kwa haki za binadamu na zaidi ya yote uheshimu wa Katiba ambao unamwezesha kuondoka madarakani kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania na kukabidhi madaraka kwa Rais ajaye kwa hiari na kwa amani.

Rais Kikwete amemwagiwa sifa hizo, Jumanne, Septemba 22, 2015 katika mikutano yake mbali mbali na viongozi wa Serikali ya Marekani na wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani