Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Ujerumani kuzuru Zanzibar

330

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitembelea Bandari ya Malindi kuangalia matayarisho ya ujio wa  Rais wa shirikisho la Ujerumani Bwana Joachik Gauck.. Kushoto kwa Balozi Seif ni Mshauri wa Rais anaesimamia Uchumi, Uwekezaji na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Moh’d Ramia na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nd. Abdulla Juma Abdulla.

Rais wa Shirikisho la Ujerumani Bwana Joachim Gauck anatarajiwa kuwasili Zanzibar kesho asubuhi kwa kufanya ziara ya kutwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Barabara zote za ndani kukarabatiwa Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akiwa na mwenyeji wake, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa

Mfuko wa Barabara Zanzibar umedhamiria kuzifanyia ukarabati barabara za ndani katika majimbo ya uchaguzi Unguja na Pemba ili kurahisisha huduma za usafiri.

 

10 years ago

Vijimambo

MAPOKEZI YA RAIS WA UJERUMANI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyoRais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) mara alipowasili katika Bandari ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA UJERUMANI AWASILI ZANZIBAR LEO

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck mara alipowasili   katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar  leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.  Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck  akisalimiana na  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) mara alipowasili   katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais wa Zanzibar aongea na Watanzania Ujerumani

Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein ameongea na watanzania katika mkutano na Diaspora uliofanyika Würzburg nchini Ujerumani. Mkutano huo ulioandaliwa na Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V, ulifanyika katika Hotel ya Maritim Hotel mjini humo mida ya saa 10 alasiri. akianza kwa kufungua mkutano huo Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Bw. Philip Marmo ,alisema, watanzania wanaoishi ujerumani wanaishi bila ya kuvunja sheria nchini humo, na wanampa Mhe Balozi Marmo faraja kubwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MATAYARISHO YA UJIO WA RAIS WA SHIRIKISHO LA UJERUMANI ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitembelea Bandari ya Malindi kuangalia matayarisho ya ujio wa Rais wa shirikisho la Ujerumani Bwana Joachik Gauck.
Kushoto ya Balozi Seif ni Mshauri wa Rais anaesimamia Uchumi, Uwekezaji na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Moh’d Ramia na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nd. Abdulla Juma Abdulla.Balozi Seif akiwa na Viongozi wa Kamati ya kuratibu Mapokezi ya Rais wa Ujerumani wakirudi kukagua eneo la kushukia boti ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR AENDELEA NA ZIARA YAKE NCHINI UJERUMANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiwa katika Ofisi ya Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg wakati walipotembelea kupata maelezo mbali mbali wakiwa katika ziara ya kikazi nchini Ujerumani. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia saini kitabu cha Golden Book katika Ofisi ya Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg Mhe,Christian Schuehadt wakati alipotembelea akiwa na ujumbe wake akiwa...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN- UJERUMANI


1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Maritim Hotel Bw.Wissmann katika Mji wa  Wurzburg Nchini Ujerumani jana alipowasili katika Mji huo akiwa katika ziara ya Kiserikali ambapo atahudhuria ufunguzi wa maonesho ya Muziki yanayojumuisha wasanii kutoka nchi za Afrika na Mabara mengine (kulia) Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo, [Picha na Ramadhan Othman.]2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA MAONESHO YA MUZIKI NCHINI UJERUMANI.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Muziki  katika Mji wa Wurzburg Nchini Ujerumani jana ambayo hufanyika kila mwaka sambamba na utoaji wa Zawadi kwa mwaka 2015 pia kujumisha wanamuziki na wasanii mashuhuri kutoka nchi za Afrika na nchi mbali mbali Duniani. Baadhi ya washiriki katika ufunguzi wa  Maonesho ya Muziki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais wa Ujerumani aacha gumzo,aenda Zanzibar kwa boti

>Ziara ya rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck imeacha mjadala mzito kisiwani hapa kutokana na kitendo chake cha kutumia usafiri wa boti kuja Unguja na kutembea kwa miguu hadi Hoteli ya Serena ya Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani