Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Zanzibar aongea na Watanzania Ujerumani

Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein ameongea na watanzania katika mkutano na Diaspora uliofanyika Würzburg nchini Ujerumani. Mkutano huo ulioandaliwa na Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V, ulifanyika katika Hotel ya Maritim Hotel mjini humo mida ya saa 10 alasiri. akianza kwa kufungua mkutano huo Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Bw. Philip Marmo ,alisema, watanzania wanaoishi ujerumani wanaishi bila ya kuvunja sheria nchini humo, na wanampa Mhe Balozi Marmo faraja kubwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR DR. SHEIN AONGEA NA WATANZANIA WANAOISHI UJERUMANI MJINI WUERZBURG

Mwenyekiti wa Umoja wa Tanzania Ujerumani Bw. Mfundo Peter Mfundo (aliyesimama) akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.Baadhi ya Watanzania waishio Ujerumani katika picha ya pamoja na Rais Dr.Shein.Balozi wa Tanzania nchi Ujerumani Bw.Philip Marmo akimwagia sifa za Watanzania waishio nchini Ujerumani kwa Rais Dr.Shein.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Watanzania waishio Ujerumani.
WUERZBURG,...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aongea na Watanzania wanaoishi India

Rais Jajaya Mrisho Kikwete akiongea na Watanznia wanaoishi India katika Hotel ya Taj Palace jijini Delhi. Rais Kikwete aliwaeleza mambo ya maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya nne ikiwemo ujenzi wa miundombinu kama vile barabara, maji, umeme na uboreshaji wa bandari ya Dar es Salaam. Aidha, aliwambia mipango iliyopo ya kujenga bandari ya Bagamoyo na reli ya kati ya kisasa. Aliwaeleza pia hali ya kisiasa, hususan maandalizi ya uchguzi mkuu ambapo zoezi la kuchukua fomu za kuwania...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGEA NA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika Ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, aliko katika ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa…

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete kukutana na Watanzania waishio Ujerumani

Kufuatia mkutano wa Watanzania waishio ujerumani na Rais wa Tanzania Mhe Jakaya Kikwete, Mweyekiti wa umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V Bw, Mfundo Peter Mfundo ameeleza matarajio ya Watanzania waishio Ujerumani.
Alifafanua kwamba japokuwa Rais Kikwete amebakiza muda mfupi katika uongozi wake lakini Umoja huo unaamini kuwa madam Rais Kikwete ameona umuhimu wa kufanya mkutano na Watanzania wanaoishi ujerumani basi anaweza akatekeleza mahitaji ya Watanzania hao.
Bw. Mfundo alifafanua pia ...

 

10 years ago

Habarileo

Barabara zote za ndani kukarabatiwa Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akiwa na mwenyeji wake, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa

Mfuko wa Barabara Zanzibar umedhamiria kuzifanyia ukarabati barabara za ndani katika majimbo ya uchaguzi Unguja na Pemba ili kurahisisha huduma za usafiri.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais wa Ujerumani kuzuru Zanzibar

330

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitembelea Bandari ya Malindi kuangalia matayarisho ya ujio wa  Rais wa shirikisho la Ujerumani Bwana Joachik Gauck.. Kushoto kwa Balozi Seif ni Mshauri wa Rais anaesimamia Uchumi, Uwekezaji na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Moh’d Ramia na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Nd. Abdulla Juma Abdulla.

Rais wa Shirikisho la Ujerumani Bwana Joachim Gauck anatarajiwa kuwasili Zanzibar kesho asubuhi kwa kufanya ziara ya kutwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAPOKEZI YA RAIS WA UJERUMANI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyoRais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) mara alipowasili katika Bandari ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA UJERUMANI AWASILI ZANZIBAR LEO

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck mara alipowasili   katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar  leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.  Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck  akisalimiana na  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) mara alipowasili   katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani