Rais wa Ukraine kuanzisha mazungumzo ya amani
Rais wa Ukraine asema ataunda tume maalum ya kushirikisha pande zote zinazozozana nchini humo kusuluhisha ghasia za kisiasa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/1EvH6RK7gis/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Ukraine na Urusi zafanya mazungumzo
Marais wa Urusi na Ukraine wamekuwa na mazungumzo ya kwanza ya moja kwa moja kuhusu mgogoro wa Ukraine,
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Mazungumzo ya amani yakwama
Mazungumzo ya kusaka amani kati ya pande mbili hasimu huko Sudan Kusini yamekwama huku mapigano makali kati ya jeshi la Serikali na waasi wanaoongozwa na makamu wa zamani wa Rais wa nchi hiyo Riek Machar yakiendelea.
10 years ago
BBCSwahili06 Sep
Makubaliano ya amani yaheshimiwa Ukraine
Baada ya miezi kadhaa ya mapigano nchini Ukraine,Serikali na waasi wanaounga mkono Urusi wamekubaliana kusitisha vita.
10 years ago
BBCSwahili07 Sep
Makubaliano ya amani yakiukwa Ukraine.
Milipuko mikali imesikika katika mji wa Bandari wa Mariupol mashariki mwa Ukraine.
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Wakubaliana mpango wa amani Ukraine
Viongozi waliokuwa wakikutana nchini Belarus wamekubaliana mpango wa amani na kusitisha mapigano nchini Ukraine.
10 years ago
Habarileo25 Feb
Viongozi wa dini watakiwa kuanzisha kamati za amani
VIONGOZI wa dini zote nchini, wameshauriwa kuanzisha Kamati za Pamoja za Amani katika mikoa waliyomo, kujadili changamoto zinazojitokeza Tanzania, zikihusisha imani.
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Mazungumzo ya amani Mashariki ya kati
Muda wa mwisho uliowekwa na Marekani wa mpango wa mashariki ya kati umemalizika
11 years ago
BBCSwahili11 Feb
Waasi wasusia mazungumzo ya amani
Waasi wa Sudan Kusini wasema hawatashiriki katika awamu ya pili ya mazungumzo ya amani hadi wafungwa wote wa kisiasa watakapoachiliwa huru
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania