Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RASIMU YA USALAMA WA MTANDAO YAKAMILIKA

Uhalifu mtandao umeendelea kukua kwa kasi katika maeneo mbali mbali duniani. Hii imepelekea Microfoft kuanzisha kitengo maalumu kitakacho ongeza uwezo wa kukabiliana na usalama mtandao kama inavyosomeka kwenye taarifa ya kingereza inayosomeka "HAPA".


Wakati huo huo takwimu zilizo tolewa na Idara ya upelelezi kupitia kitengo cha kukabiliana na uhalifu mtandao ya nchini Sirilanka zimeonyesha ukuaji wa makosa hayo katika nchi hiyo yameendelea kukukua kwa kasi. Takwimu hizo zinapatikana...





Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Rasimu usalama wa mtandao yakamilika

Profesa Makame MbarawaWIZARA ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imekamilisha rasimu ya miswada mitatu ya sheria za usalama wa mtandao ili kudhibiti uhalifu katika mitandao.

 

11 years ago

Mwananchi

Rasimu ya pili ya Katiba Mpya yakamilika

Hatimaye Tume ya Mabadiliko ya Katiba chini ya Mwenyekiti wake, Jaji Joseph Warioba imekamilisha kazi ya kuboresha rasimu ya kwanza na kupata rasimu ya pili ya Katiba Mpya tayari kwa hatua nyingine.

 

9 years ago

Habarileo

‘Sheria ya mtandao ipo kulinda usalama na amani’

WAKATI Sheria ya Makosa ya Mtandao ikitarajiwa kuanza kutumika Septemba Mosi, mwaka huu, Watanzania wametakiwa kutambua kuwa serikali haina nia ya kuwahamishia wananchi gerezani bali ni kwa ajili ya usalama wa nchi.

 

11 years ago

Ykileo

KENYA YAWASILISHA RIPOTI YAKE YA USALAMA MTANDAO

Bwana. Joseph Tiampati Mashambulio ya mtandao nchini Kenya yamekuwa ni zaidi ya nusu kwa mwaka uliopita, na nchi kupoteza takriban shilingi bilioni 2 (dola milioni 22.8) kwa mwaka, hii ni kwa mujibu wa ripoti ya usalama mtandao ya Kenya ya mwaka huu wa 2014.


Ikiwa ni kipindi muhimu ambapo ripoti  za usalama mitandao katika ngazi mbali mbali zinaendelea kuwasilishwa, Kenya nayo imewasilisha ripoti yake ya mwaka 2014 huku ikiwa imeonyesha hofu kuzidi ya ukuaji ma uhalifu katika usalama...

 

10 years ago

Ykileo

DIT YAFANYA SEMINA ELEKEZI YA UFAHAMU WA MASWALA YA USALAMA MTANDAO

Swala la kukuza uelewa wa matumizi mtandao salama maarufu kama  “Cybersecurity Awareness programs” imekua iki himizwa sana kwani uhalifu mtandao unaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa sana pale watumiaji watakapo pata ufahamu wa kina wa matumizi salama wa mitandao.


Swala hili limekua liki imizwa sana na mataifa mbali mbali ili kuhakiki matumizi salama ya mitandao yanakuwepo na hatimae kupunguza wimbi kubwa la uhalifu mtandao unao endelea kukua hivi sasa. Katika kuonyesha umuhimu wa swala hili...

 

11 years ago

Ykileo

USALAMA MTANDAO NA NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUTOA ELIMU.

Hali ya usalama mtandao ni dhahiri bado jitihada za dhati zinahitajika ili kuweza kuleta mabadiliko na kupata Tanzania salama kimtandao, Afrika na dunia kiujumla. Ili kuleta mabadiliko chanya jukumu la kutoa elimu halipaswi kubaki kwa mtu mmoja au kundii Fulani la watu bali ni lazima kuwe na kuunganisha nguvu ya pamoja kutoka katika kila mtu mmoja mmoja.


Miongoni mwa jitihada zinaonekana kwa vyombo vya habari na makundi mbali mbali nchini Tanzania kuanza kuona umuhimu wa maswala ya ulinzi...

 

10 years ago

Ykileo

WAZIRI MKUU INDIA ATAKA SULUHU ZA USALAMA MTANDAO KWA WANA TEHAMA

Baada ya miaka 25 ya mafanikio nchini india katika sekta ya TEHAMA, Waziri mkuu wa nchi hiyo amezitaka sekta za TEHAMA kuboresha usalama wa mitandao ili kukabiliana na wimbi la uhalifu mtandao kwa kuwa na ubunifu madhubuti wa njia sahihi za kukabiliana na uhalifu mtandao nchini India.


Waziri mkuu Huyo mhe. Narendra Modi, Ameyazungumza hayo alipokua akizungumza na wana TEHAMA Nasscom, Waziri mkuu huyo alizungumza na kusema dunia nzima imekua ikiangazia macho maswala ya usalama mitandao na...

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani