Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAUNDI YA 11 LIGI KUU YA VODACOM KUCHEZWA DISEMBA 12

Mechi za raundi ya 11 za Ligi Kuu ya Vodacom zilizokuwa zichezwe Novemba 7 na 8 mwaka huu sasa zitafanyika Desemba 12 na 13 kupisha maandalizi ya Taifa Stars ya mechi za mchujo za Kombe la Dunia.Taifa Stars inatarajia kuingia kambini mapema mwezi ujao kujiandaa na mechi ya kwanza dhidi ya Algeria ambayo itafanyika Novemba 14 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zitarudiana nchini Algeria, Novemba 17 mwaka huu.Mechi hizo za Vodacom zitakazochezwa Desemba 12 ni kati ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.

TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE

Kagera Sugar – African Sports           16:00 EAT

Maji Maji – Azam                               16:00 EAT

Mwadui – Ndanda                              16:00 EAT

Prisons – Mtibwa...

 

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunahimiza maandalizi raundi ya pili Ligi Kuu

RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaanza Januari 22 kwa timu 14 kuendelea na kampeni ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo unaoshikiliwa na Yanga, waliomaliza ngwe ya kwanza...

 

10 years ago

Mwananchi

Ligi Kuu Bara sasa kuchezwa usiku

Wakati Kampuni ya Azam Media ikitoa kitita cha Sh423.5 milioni kwa klabu za Ligi Kuu kutokana na haki za kurusha michezo yake, Bodi ya Ligi (TPL Board) imeweka wazi kuwa baadhi ya mechi hizo zitachezwa usiku.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YARUHUSU LIGI KUU NNE ZA SOKA KUCHEZWA DAR NA MWANZA KUANZIA MWEZI UJAO

WAZIRI  DK.MWAKYEMBE LEONa Eleuteri Mangi- WHUSM, Dodoma.
Serikali imeruhusu ligi kuu nne kuanza kuchezwa nchini kuanzia Juni 1, 2020 kwa tahadhari zote ili kumpata bingwa wa ligi hizo na timu mwakilishi katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dodoma kuhusu uamuzi wa Serikali wa kuanza kwa ligi hizo baada ya kusitishwa kwa muda kufuatia ugonjwa mlipuko...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ligi Kuu Vodacom yahamia kiganjani

WAKATI Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) ikiwa imefikia patamu katika duru la pili, ikishuhudiwa nyasi za viwanja mbalimbali nchini zikiendelea kuumia huku kiu ya wapenzi wengi wa soka wakitaka kujua...

 

10 years ago

Vijimambo

LIGI KUU YA VODACOM KUANZA SEPTEMBA 12

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) itaanza Sept 12 badala ya Agosti 22 ili kumpa Charles Mkwasa fursa ya kuendelea na program yake kuelekea mechi ya Taifa Stars vs Nigeria itakayochezwa Sept 5. 

Mechi ya Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayozikutanisha Azam FC dhidi ya Yanga SC sasa itachezwa Agosti 22 badala ya Agosti 15. 
Ratiba ya Ligi Kuu iliyokuwa imeandaliwa, sasa inafanyiwa marekebisho kwa ajili ya tarehe mpya ya kuanza, ambapo pamoja na mambo mengine mechi sasa zitachezwa wikiendi...

 

11 years ago

Michuzi

MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM HADI SASA



Pos. Logo Club P W D L GF GA GD Pts 1            Azam FC   Azam FC 15 9 6 0 25 10 15 33 2 Young Africans FC Young Africans SC 15 9 5 1 33 12 21 32 3 Mbeya City  FC         15 8 7 0 21 11 10 31 4 Simba SC Simba SC 15 8 6 1 31 13 19 30 5 Kagera Sugar FC Kagera Sugar FC 14 5 5 4 15 12 3 20 6 Mtibwa Sugar FC Mtibwa Sugar FC 14 5 5 4 20 17 3 20 7 Coastal Union SC 15 3 9 3 10 7 3 18 8 Ruvu Shooting Stars 14 4 6 4 16 16 0 18 9 JKT Ruvu Stars JKT Ruvu Stars 14 6 0 8 13 18 -5 18 10 Rhino Rangers 15 2 5 8 9 19 -10 11 11 JKT Oljoro...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani