Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAY ASHINDWA KUMZIKA BAM’DOGO WA JOHARI

Na Mayasa Mariwata
MKURUGENZI wa RJ Company, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameshindwa kumzika baba mdogo wa mkurugenzi mwenza wa kampuni hiyo, Blandina Chagula, Clement Kiyenze Chagula. Mkurugenzi wa RJ Company, Vincent Kigosi ‘Ray’ Mzee huyo alifariki katika Hospitali ya Muhimbili kutokana na matatizo ya presha na figo yaliyokuwa yakimsumbua na kuzikwa katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar ambapo wasanii...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

RAY ashindwa kumzika “Baba’ke” na JOHARI. Chuchu Hans 'atajwa'.

MKURUGENZI wa RJ Company, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameshindwa kumzika baba mdogo wa mkurugenzi mwenza wa kampuni hiyo, Blandina Chagula, Clement Kiyenze Chagula.

Mzee huyo alifariki katika Hospitali ya Muhimbili kutokana na matatizo ya presha na figo yaliyokuwa yakimsumbua na kuzikwa katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar ambapo wasanii mbalimbali wa filamu nchini walishiriki akiwemo Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete.

Alipoulizwa Ray kwa nini hakuhudhuria mazishi hayo, alisema:

“Ukweli...

 

11 years ago

GPL

MAFUFU AUGUA, ASHINDWA KUMZIKA KUAMBIANA

Stori:Hamida Hassan STAA wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu licha ya kutoa suti ya shilingi 400,000 aliyozikiwa nayo marehemu Kuambiana, alishindwa kumzika rafiki yake huyo kipenzi baada ya kuugua ghafla siku ya mazishi na kulazwa hospitali. Muigizaji wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu. Akizungumza na Ijumaa, Mafufu alisema kuwa alijikuta akipatwa na maumivu makali pamoja na homa hali iliyosababisha alazwe katika Hospitali ya...

 

10 years ago

GPL

AMANDA AZIDIWA, ASHINDWA KUMZIKA MEZ B

Hamida Hassan/Uwazi
MREMBO kunako tasnia ya filamu Bongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ ameshindwa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Moses Bushagama aliyefariki mwishoni mwa wiki iliyopita mkoani Dodoma kutokana na kuugua ghafla. Mrembo kunako tasnia ya filamu Bongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’. Akizungumza na Uwazi kwa masikitiko, Amanda ambaye pia ni mtu wa karibu na...

 

10 years ago

Habarileo

Mdee aenda kumzika Komba, ashindwa kutokea kortini

MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema, Halima Mdee jana alishindwa kufika mahakamani katika kesi ya kutotii amri halali ya Polisi inayomkabili na wenzake wanane, ikielezwa kuwa alikwenda kwenye maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi mkoani Ruvuma, Kapteni John Komba.

 

11 years ago

GPL

WEMA AMFUNGIA DIAMOND, ASHINDWA KUMZIKA MZEE GURUMO

Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo
HAYA yanaweza kuwa ni mambo ya malovee! Kuna madai kwamba Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ alishindwa kushiriki zoezi la kuuaga mwili wa mwanamuziki mkongwe Tanzania, marehemu Muhidin Mwalimu Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ kwa sababu alifungiwa asitoke ndani na mwandani wake madam Wema Sepetu, Ijumaa linakudadavulia. Wema Sepetu na Diamond wakiwa faragha. ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Johari Amkana Ray!

Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza  wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.

Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.

Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...

 

11 years ago

GPL

RAY, JOHARI WACHENGANA

Stori:  Shakoor Jongo Ishu! Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ Productions, waliowahi kudaiwa kutoka kimalovee, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’ wametoa kali ya katika Makaburi ya Kinondoni, Dar, wakati wa mazishi ya mwigizaji mwenzao, Sheila Haule ‘Recho’ baada ya kuombwa kwa pamoja wainuke kuweka shada kaburini lakini wao wakachengana. Wakurugenzi wa Kampuni ya RJ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani