MAFUFU AUGUA, ASHINDWA KUMZIKA KUAMBIANA
![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT6AkBpsbpye8yIkwaB*q1NNlgcwfU0oc8wt6s3IiQ8GZrt8FV2gNklnkgUdesW0ciV5duSMs*7hwY605AEylTED/mafufu.jpg)
Stori:Hamida Hassan STAA wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu licha ya kutoa suti ya shilingi 400,000 aliyozikiwa nayo marehemu Kuambiana, alishindwa kumzika rafiki yake huyo kipenzi baada ya kuugua ghafla siku ya mazishi na kulazwa hospitali. Muigizaji wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu. Akizungumza na Ijumaa, Mafufu alisema kuwa alijikuta akipatwa na maumivu makali pamoja na homa hali iliyosababisha alazwe katika Hospitali ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM05 Jun
H BABA AUGUA GHAFLA, ASHINDWA KUMUAGA TYSON
STAA wa Bongo Fleva,Hamis Baba ameugua ghafla jana na kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo,marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades,Kinondoni,Dar.
Aidha msanii alisema kuwa baada ya hali hiyo kumtokea alikimbizwa hospitalini. Kupitia Account yake ya Instagram aliandika hivi… Naumwa sana nilikuwa najiandaa kwenye kumuaga mwenzetu Tyson nikasikia kizunguzungu nikaanguka… hapa nipo hospitalini…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7rTqI-8hIfvMEz50H2g84dkdbPM6oyYQGmeM5R7BTzfbu4iytMQCIzC7*Th1dYQq-peka6jTSYb4SJ5tUXsJWLC/13.gif)
PAPAA MSOFE AUGUA, ASHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI, KESI YAKE YAAHIRISHWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2Z16k1LQ41b41nAWFG8eL9uun*l*eYlwRNy3X87iJuZzpeSesMBktS7n3uXBbqxFCyQmUAniDk9dUOSZykAdBPA/Amanda.jpg)
AMANDA AZIDIWA, ASHINDWA KUMZIKA MEZ B
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k6cxj6-63DRCPoRZiWz4MCx1lVEpkjl-ORZZt9e*Uo6PJBRrYaZkxqMkT5iaFGdRESy49nXc-hH-8-WR7nZ3NLa/Ray.jpg?width=650)
RAY ASHINDWA KUMZIKA BAM’DOGO WA JOHARI
10 years ago
Habarileo04 Mar
Mdee aenda kumzika Komba, ashindwa kutokea kortini
MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake Chadema, Halima Mdee jana alishindwa kufika mahakamani katika kesi ya kutotii amri halali ya Polisi inayomkabili na wenzake wanane, ikielezwa kuwa alikwenda kwenye maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi mkoani Ruvuma, Kapteni John Komba.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwkY2Ya*bV9hcwEjEqSDs-v9mKv3nGr-MtcV7ADbul4LJMITTuwmSxPvqC2Fch7k6teK*W1UHJ5AG8eqTDgRgOL2/wema1.jpg?width=650)
WEMA AMFUNGIA DIAMOND, ASHINDWA KUMZIKA MZEE GURUMO
11 years ago
Bongo Movies24 Jul
RAY ashindwa kumzika “Baba’ke” na JOHARI. Chuchu Hans 'atajwa'.
MKURUGENZI wa RJ Company, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameshindwa kumzika baba mdogo wa mkurugenzi mwenza wa kampuni hiyo, Blandina Chagula, Clement Kiyenze Chagula.
Mzee huyo alifariki katika Hospitali ya Muhimbili kutokana na matatizo ya presha na figo yaliyokuwa yakimsumbua na kuzikwa katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar ambapo wasanii mbalimbali wa filamu nchini walishiriki akiwemo Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete.
Alipoulizwa Ray kwa nini hakuhudhuria mazishi hayo, alisema:
“Ukweli...
9 years ago
Bongo Movies21 Sep
Mafufu ‘Kufia’ UKAWA
Muandaaji na muigizaji wa filamu , Jimmy Mafufu amesema hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa sababu kila upande wa siasa una changamaoto zake.
Mafufu amesema alihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kwenda UKAWA kwasababu matatizo mengi yanayohusiana na sanaa ya filamu yalikuwa hayajapatiwa ufumbuzi na serikali yake.
Ameseme yupo UKAWA iliyomsimamisha Edward Lowassa kuwa mgombea Urais wake katika uchaguzi wa mkuu mwezi ujao kwasababu anaamini atafikia malengo aliyojiwekea...
9 years ago
GPLMAFUFU AKUBALI KUITWA ZOBA