RAY C SASA ATAKA KUOLEWA NA MZEE!
![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycQ58e7sfU6Wzc4FxdWK7QvEfECX11g0Hh1DB47NnEdRDGCLsGKqS17rm1b*Z0RfMAZzuGweEYwuf3OtrUr6iXc5/rayc.jpg)
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Utu uzima dawa! Staa wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amefunguka kuwa kwa sasa hana mpenzi wala hajapata mtu wa kumuoa ila anataka kuolewa na mzee atakayeweza kumlea. Staa wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’. Akizugumza na wanahabari wetu kwenye mgahawa wake wa Ray C uliopo Mwananyamala, Dar, mwanadada huyo alisema yeye kama mwanamke anatamani...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Ray C sasa ahitaji mpenzi mzee
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama ikitokea basi atamtaka kuwa na...
10 years ago
Bongo Movies25 Sep
Sasa nipo teyari kuolewa- Jackline Wolper, Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu
Star wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa baada ya kupitia mambo mengi zikiwemo starehe za ujana ambazo wengi wanaokuwa kwenye ndoa huzikimbilia na kuvunja ndoa zao kwa kuwa hawakuzifanya kipindi wapo nje ya ndoa.
"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2cgQuBR1Coip7hBoo2e1jhD0LPcTw9hpoYuuQmy0AfFgoqQ-sqyqRrZRHVXa6xL1eWpyJMXtB-mAvzjxICtHfCiigOBz7Oou/ORIGINALKOPA.jpg)
KHADIJA KOPA SASA YUPO TAYARI KUOLEWA TENA
10 years ago
Vijimambo29 Nov
RAY RICE ASHINDA RUFAA SASA ANAWEZA KUCHEZA
![Ray Rice](http://a.espncdn.com/photo/2014/0909/nfl_g_rice2_cr_300x200.jpg)
Mchezaji wa zamani wa timu ya football ya Baltimore Ravens Ray Rice ameshinda rufaa yake aliyokua amefungiwa na chama cha mchezo huo NFL kucheza mchezo huo wa Football ambao ni maarufu nchini Marekani
Mchezaji Ray Rice sasa anaweza kujiunga na timu yeyote baada ya mahakama kuondoa pingamizi alilokua amewekewa na NFL.
Ray Rice alifungiwa mechi 2 mwezi Septemba mwaka huu baada yakubainika kumpiga wakati huo akiwa mchumba wake Janay. Na baada ya video kutoka hadharani kwenye tv na...
10 years ago
Bongo Movies08 May
Hii ndiyo Sababu ya Ray Kutooa Hadi Sasa
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefungukia sababu za kutooa licha ya kwamba umri umekwenda.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.
Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo asiingie kwenye maisha ya ndoa.
“Unajua hili suala la ndoa ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJPe*sjJcD37vWMe2zjrAo8eNqUpayJ2BXmlJ-OaM6CEFY9z0DN2CYLbCTPHgK6inUcrEFJ3CTqJm5GbirfsG9cP/WEWE8.jpg)
RAY: CHUCHU SASA NDO’ KILA KITU KWANGU
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-wRjaqNY0Xsk/VUzQdlYeZXI/AAAAAAABN6I/3MMG6aAOONw/s72-c/RAY.jpg)
RAY KIGOSI ATOA SABABU INAYOMFANYA ASHINDWE KUOA HADI SASA
![](http://1.bp.blogspot.com/-wRjaqNY0Xsk/VUzQdlYeZXI/AAAAAAABN6I/3MMG6aAOONw/s400/RAY.jpg)
Akizungumza na gazeti la Ijumaa katika mahojiano maalum, Ray alisema amekuwa akipangua mawazo ya kuoa kila wakati kutokana na ugumu wa kumpata mwanamke ambaye hatampa stress kama zinazowapata baadhi ya watu.Alisema, kwa kuwa suala la kuoa ni jambo nyeti, halihitaji kukurupuka na hicho ndicho kimemfanya mpaka leo...
10 years ago
Dewji Blog11 Sep
Mzee Kingunge ataka katiba itakayomwondoa Mtanzania katika umaskini
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Na Magreth Kinabo, Dodoma
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru ameeleza siri iliyomsukuma kutoa mapendekezo yake ya sura mpya juu ya lengo la mageuzi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii na kujitegemea kuwa ni unyonge wa watu wengi ili waweze kuondokana na umasikini.
Aidha Mzee Kingunge...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-SeezoJYZp4g/VNh4NBBAjYI/AAAAAAAAelE/V_RDo7Pmi3U/s72-c/kimbulu.png)
Mzee Majuto Sasa anapatikana Mtandaoni
![](http://2.bp.blogspot.com/-SeezoJYZp4g/VNh4NBBAjYI/AAAAAAAAelE/V_RDo7Pmi3U/s1600/kimbulu.png)