RAYUU AMECHOKA KUITWA MAMA STRESS
![](http://api.ning.com:80/files/SJHyuKr55TNSP7Bsr2a8Ft*QS-l90Fb3zUbHpbHvRThImwIiwUr-72vNoVBUdgoQW4C724ALTyvjJrUGN3A18kc*1kEsoIdh/d48b8fd507L.jpg?width=650)
Msanii wa sinema za Kibongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’. Iam tired! Msanii wa sinema za Kibongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kuwa amechoka kuitwa mama ‘stress’ kutokana na mateso aliyoyapata ya kimapenzi kutoka kwa baadhi ya wanaume aliowahi kuwa nao. Akipiga stori na Ijumaa Wikienda, Rayuu alitiririka kuwa ameshaumizwa mno na mambo ya malavu hivyo kwa sasa ameamua kukaa nayo mbali ili kuepukana na msongo....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Wema Sepetu: Natamani kuitwa mama kabla sijafa
MREMBO wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu, amesema kwamba muda wote wa maisha yake amekuwa akisaka ujauzito lakini anasikitika kwamba hana uwezo huo.
Mrembo huyo ambaye kwa sasa anataraji kuachia filamu yake mpya aliyomshirikisha msanii maarufu wa Nigeria, Van Viker, ameeleza namna anavyotamani kuitwa mama kwa kuwa ndicho kitu kikubwa kinachomuumiza katika maisha yake kwa sasa huku akitamani kuwa na mtoto kabla hajafa.
Kauli ya mrembo huyo aliyoiweka katika mtandao wake wa Instagram,...
10 years ago
Bongo Movies06 Feb
Baby Madaha: Natamani Kuitwa Mama Mwaka Huu
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto.
Akizungumzia swala hili, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha.
Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo ambalo linapendeza katika jamii, lakini...
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Rayuu wa mitandaoni na nyumbani ni tofauti!
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MAKUBWA! Mrembo anayetikisa kiwanda cha filamu nchini, Rahma Rayuu ‘Rayuu’ amesema maisha yake halisi na maisha anayoonyesha kwenye mitandao ya kijamii ni tofauti hivyo watu wanaodhani ndivyo alivyo wanakosea.
Akichonga na Swaggaz, Rayuu alisema kuwa amezoea kuweka mitandaoni picha zinazoonyesha mwili wake lakini kiuhalisia ni mtu mwenye maadili ambaye akiwa nyumbani huvalia hadi ushungi kujisitiri.
“Kwetu ni familia ya dini na nimekuwa kwenye mazingira hayo, kule...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cZ399qCqOaEKB7oGheLiRCwNpxZLlhQPN93il-SMpBexSsNxoLisg2LEu-nCmzVrySw26LpYl0-9Tq*8diuwbHIVT1ounGUy/RAYUU.jpg?width=650)
RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-tTOOH6EIp-k/UfsOZLenHTI/AAAAAAAAAU4/ZqwVm2mxpE8/s1600/Rayuu.jpg?width=750)
RAYUU AMUANIKA MWANDANI WAKE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ccv79ba4KWA*ER0sh7i8Vuym9od4IvRwqFnwIhl9LbicG-fP13qG4uBkJG5yxX*G99P7lDaaaJIX3EztMLMHOYmEkWlaR60a/wajinga.jpg?width=650)
RAYUU,SKAINA WAFANYA UCHAFU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/Ugvao0mAfe6Jnx*LpxtOFCwBsnYH-ma-JxlA32C251svS1VlLFJp5p0HSBv4E6mL5FQydY*Ye0T0TCT-mKL8luD-gIYKjTsI/RAYUU.jpg?width=650)
RAYUU: WANAUME WANNE WAMEINGIA MITINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQm7yDXbLf7PbI2AyPzWmijN7FjTWTZTt1fjzANbc5OQPmP5iaumLRDnFDRlLP30UmCVK4RZMRfNoLn3un4UZf3B/rayuu.jpg)
RAYUU AKIRI KUKOSA MVUTO WA MAPENZI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ugvao0mAfe4O0Fm60SFjpnRtY*QvHfqlDp73Zehh9Yku7YjOQeq0nva-Q16XHG0764HyZsq-iY88CborUn55AvAyLNb5pjsn/rayuu.jpg?width=650)
RAYUU: ‘WOLPER APIME UKIMWI’