RAYUU: ‘WOLPER APIME UKIMWI’
![](http://api.ning.com:80/files/Ugvao0mAfe4O0Fm60SFjpnRtY*QvHfqlDp73Zehh9Yku7YjOQeq0nva-Q16XHG0764HyZsq-iY88CborUn55AvAyLNb5pjsn/rayuu.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani MSANII wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amemtaka msanii mwenzake, Jacqueline Wolper apime Ukimwi kama alivyofanya yeye. Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’. Akipiga stori na paparazi wetu, Rayuu alisema anamheshimu Wolper na kamwe hawezi kumsema vibaya lakini alishangaa kuambiwa na mashosti wake kwamba anamsema yeye ana Ukimwi....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cZ399qCqOaEKB7oGheLiRCwNpxZLlhQPN93il-SMpBexSsNxoLisg2LEu-nCmzVrySw26LpYl0-9Tq*8diuwbHIVT1ounGUy/RAYUU.jpg?width=650)
RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ccv79ba4KWA*ER0sh7i8Vuym9od4IvRwqFnwIhl9LbicG-fP13qG4uBkJG5yxX*G99P7lDaaaJIX3EztMLMHOYmEkWlaR60a/wajinga.jpg?width=650)
RAYUU,SKAINA WAFANYA UCHAFU
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Rayuu wa mitandaoni na nyumbani ni tofauti!
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MAKUBWA! Mrembo anayetikisa kiwanda cha filamu nchini, Rahma Rayuu ‘Rayuu’ amesema maisha yake halisi na maisha anayoonyesha kwenye mitandao ya kijamii ni tofauti hivyo watu wanaodhani ndivyo alivyo wanakosea.
Akichonga na Swaggaz, Rayuu alisema kuwa amezoea kuweka mitandaoni picha zinazoonyesha mwili wake lakini kiuhalisia ni mtu mwenye maadili ambaye akiwa nyumbani huvalia hadi ushungi kujisitiri.
“Kwetu ni familia ya dini na nimekuwa kwenye mazingira hayo, kule...
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-tTOOH6EIp-k/UfsOZLenHTI/AAAAAAAAAU4/ZqwVm2mxpE8/s1600/Rayuu.jpg?width=750)
RAYUU AMUANIKA MWANDANI WAKE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SJHyuKr55TNSP7Bsr2a8Ft*QS-l90Fb3zUbHpbHvRThImwIiwUr-72vNoVBUdgoQW4C724ALTyvjJrUGN3A18kc*1kEsoIdh/d48b8fd507L.jpg?width=650)
RAYUU AMECHOKA KUITWA MAMA STRESS
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/Ugvao0mAfe6Jnx*LpxtOFCwBsnYH-ma-JxlA32C251svS1VlLFJp5p0HSBv4E6mL5FQydY*Ye0T0TCT-mKL8luD-gIYKjTsI/RAYUU.jpg?width=650)
RAYUU: WANAUME WANNE WAMEINGIA MITINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQm7yDXbLf7PbI2AyPzWmijN7FjTWTZTt1fjzANbc5OQPmP5iaumLRDnFDRlLP30UmCVK4RZMRfNoLn3un4UZf3B/rayuu.jpg)
RAYUU AKIRI KUKOSA MVUTO WA MAPENZI
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...
9 years ago
Bongo Movies14 Oct
Rayuu Afunguka Kuhusu Wanaume Wanne Waliomfanyia Mbaya Kisha Kumtosa Bila Kumuoa