Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC awapa kibarua watendaji

MKUU wa Mkoa (RC) wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe, amewataka watendaji wa vijiji na kata kuwafikisha mahakamani wazazi wanaowaozesha  watoto wao chini ya umri na wale wanaowapa ujauzito na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

DC awapa siku saba watendaji

MKUU wa Wilaya (DC) ya Nyang’hwale, mkoani Geita, Ibrahim Marwa, amewataka watumishi wa halmashauri hiyo kuanzia mkurugenzi wa wilaya na watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha ndani ya siku saba...

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Seif awapa somo watendaji

 Kukosekana kwa uhusiano mzuri kati ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala nchini, kunachangia kutopatikana huduma bora kwa jamii.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wanatambua kibarua kinachowakabili?

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana lilianza mikutano yake ya 16 na 17 mjini Dodoma itakayomalizika mwishoni mwa mwezi huu. Kwa maana hiyo, mikutano hiyo itamalizika Novemba 28.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yapewa kibarua kigumu

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa pili kulia) akiongozwa na Meneja Mwandamizi wa Tanesco Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Mahende Mugaya kukagua miradi ya umeme inayofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), katika kituo cha umeme cha Chalinze mkoani Pwani jana. (Picha na Wizara ya Nishati na Madini).MOJA ya sekta zenye mchango katika maendeleo ya mwananchi mmoja mmoja zilizofanyiwa mabadiliko makubwa na ya kasi, ni upatikanaji wa umeme, ambapo Serikali imeagiza Shirika la Umeme (Tanesco), kuunganisha umeme kwa wateja siku ambayo wamelipa gharama za kuunganishiwa huduma hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Msuva: Msiniharibie kibarua changu

>Kiungo mshambuliaji  wa Yanga, Simon Msuva amesema  usajili wake Simba utakuwa ni ndoto.

 

10 years ago

Mtanzania

Kibarua cha Nooij shakani

ABDUCADO EMMANUEL NA MWALI IBRAHIM, DAR

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Mart Nooij raia wa Uholanzi, yupo shakani kuendelea kukinoa kikosi hicho kutokana na matokeo mabaya aliyopata kwenye michuano ya Kombe la Cosafa.

Stars imeambulia vipigo kwenye mechi mbili za awali za Kundi B la michuano hiyo na timu ndogo Swaziland (1-0) na Madagascar (2-0), leo itamalizia ratiba kwa kuchuana na Lesotho iliyoko juu yake.

Habari za ndani zilizoifikia MTANZANIA jana zimeeleza kuwa,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea na Man U wapata kibarua kigumu

Didier Drogba,Fillipe Luis,Andre Schurrle na John Obi Mikel huenda wakashiriki iwapo the blues itbadilisha kikosi

 

9 years ago

Mtanzania

Brendan Rodgers kibarua chake matatani

brendan rodgersLIVERPOOL, ENGLAND

BAADA ya Liverpool kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Norwich City, mashabiki wamemtaka bosi wa klabu hiyo kumfukuza
kocha wao Brendan Rodgers. Klabu hiyo mpaka sasa imefanikiwa kushinda michezo miwili kati ya sita iliyocheza
huku ikitoa sare miwili na kufungwa miwili.

Katika mchezo wa jana Liverpool ilikuwa nyumbani na kutoka sare dhidi ya klabu ambayo imepanda daraja msimu huu, hivyo mashabiki wa klabu hiyo wamemtumia ujumbe bosi wa klabu hiyo John Henry, kupitia akaunti yake...

 

10 years ago

Mtanzania

JK: Rais ajaye ana kibarua kigumu

jkNa Mwandishi Wetu,
RAIS Jakaya Kikwete amesema rais ajaye atakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania inaendelea kubaki kuwa moja kwa kudumisha umoja huo unaotokana na muungano wa nchi mbili.
Kikwete alitoa kauli hiyo siku chache baada ya makada wa chama hicho kuanza kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Hadi sasa waliochukua fomu ni mawaziri wakuu wa zamani, Frederick Sumaye na Edward Lowassa, Makamu wa Rais,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani