Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wanatambua kibarua kinachowakabili?

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana lilianza mikutano yake ya 16 na 17 mjini Dodoma itakayomalizika mwishoni mwa mwezi huu. Kwa maana hiyo, mikutano hiyo itamalizika Novemba 28.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wanatambua thamani ya kura zao?

>Mfumo wa vyama vingi ulikuja baada ya ule wa chama kimoja kudumu kwa miaka 27 tangu mwaka 1965. Katika mfumo huo wa zamani, mgombea mmoja tu wa chama tawala tangu cha TANU na baadaye CCM, ndiye aliyekuwa akipigiwa kura katika ngazi ya urais.

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC awapa kibarua watendaji

MKUU wa Mkoa (RC) wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe, amewataka watendaji wa vijiji na kata kuwafikisha mahakamani wazazi wanaowaozesha  watoto wao chini ya umri na wale wanaowapa ujauzito na...

 

10 years ago

Mtanzania

Kibarua cha Nooij shakani

ABDUCADO EMMANUEL NA MWALI IBRAHIM, DAR

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Mart Nooij raia wa Uholanzi, yupo shakani kuendelea kukinoa kikosi hicho kutokana na matokeo mabaya aliyopata kwenye michuano ya Kombe la Cosafa.

Stars imeambulia vipigo kwenye mechi mbili za awali za Kundi B la michuano hiyo na timu ndogo Swaziland (1-0) na Madagascar (2-0), leo itamalizia ratiba kwa kuchuana na Lesotho iliyoko juu yake.

Habari za ndani zilizoifikia MTANZANIA jana zimeeleza kuwa,...

 

10 years ago

Mwananchi

Msuva: Msiniharibie kibarua changu

>Kiungo mshambuliaji  wa Yanga, Simon Msuva amesema  usajili wake Simba utakuwa ni ndoto.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco yapewa kibarua kigumu

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (wa pili kulia) akiongozwa na Meneja Mwandamizi wa Tanesco Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Mahende Mugaya kukagua miradi ya umeme inayofadhiliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), katika kituo cha umeme cha Chalinze mkoani Pwani jana. (Picha na Wizara ya Nishati na Madini).MOJA ya sekta zenye mchango katika maendeleo ya mwananchi mmoja mmoja zilizofanyiwa mabadiliko makubwa na ya kasi, ni upatikanaji wa umeme, ambapo Serikali imeagiza Shirika la Umeme (Tanesco), kuunganisha umeme kwa wateja siku ambayo wamelipa gharama za kuunganishiwa huduma hiyo.

 

11 years ago

GPL

YANGA (WABUNGE) WALIVYOISAMBARATISHA SIMBA (WABUNGE) KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akishangilia na shabiki wake baada ya ushindi wa…

 

9 years ago

Mwananchi

Julio ashika kibarua cha Kerr

Kibarua cha kocha wa Simba, Dylan Kerr kimewekwa kwenye mchezo wa Jumamosi baina yao na Mwadui ya Shinyanga iliyo chini ya beki wa zamani wa klabu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.

 

10 years ago

Mtanzania

JK: Rais ajaye ana kibarua kigumu

jkNa Mwandishi Wetu,
RAIS Jakaya Kikwete amesema rais ajaye atakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania inaendelea kubaki kuwa moja kwa kudumisha umoja huo unaotokana na muungano wa nchi mbili.
Kikwete alitoa kauli hiyo siku chache baada ya makada wa chama hicho kuanza kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Hadi sasa waliochukua fomu ni mawaziri wakuu wa zamani, Frederick Sumaye na Edward Lowassa, Makamu wa Rais,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani