RC HAPI: TAKUKURU CHUNGUZENI KAMPUNI YA MWENGA HYDRO.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi akitoa maagizo kwa TAKUKURU kuhusu kampuni ya Mwenga Hydro iliyopo katika wilaya ya Mufindi
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
MAMLAKA ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Iringa imeagizwa kuichunguza kampuni binafsi ya usambazaji wa Umeme ya Mwenga hydro power ya wilayani Mufindi kutokana na uwepo wa Taarifa za kutoza wananchi gharama zaidi ya Elfu 50 hadi 180 tofauti na bei elekezi ya shirilingi elfu 27 ili kuingiziwa Umeme.
Agizo hilo limtolewa na Mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTAKUKURU ICHUNGUZENI KAMPUNI INAYOCHUKUA MAPATO YA FAINI ZA MAROLI- RC MAKONDA
5 years ago
MichuziTAKUKURU YAKAMILISHA UCHUNGUZI WA MAKUBALIANO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KAMPUNI YA ROM SOLUTIONS KWA ASILIMIA 99.9
ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola na aliyekuwa Kamishina wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji Thobias Andengenye pamoja na watumishi wengine wa umma 15 wamekutwa na tuhuma ya makosa, baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (TAKUKURU) kukamilisha uchunguzi wa makubaliano ya Jeshi la Zima Moto na Uokoaji na kampuni ya ROM solution kupitia mkataba uliohusu upatikanaji wa mkopo wa Euro 408,416,288.16 ambazo ni sawa shilingi Trilioni...
10 years ago
Habarileo31 Dec
‘Chunguzeni makanisa kabla ya kujiunga nayo’
WAUMINI wa madhehebu ya Kikristo nchini wameshauriwa kuyachunguza makanisa kabla ya kujiunga nayo.
9 years ago
TheCitizen09 Oct
We’re switching off all hydro-power plants: minister
9 years ago
TheCitizen17 Nov
TZ will continue relying on hydro-power sourcses, says ACT boss
5 years ago
MichuziRC ALLY HAPI: KULIPA KODI NI FAHARI NA UZALENDO
Afisa Msimamizi wa Kodi Mwandamizi Bi. Catherine Mwakilagala kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akitoa elimu ya kodi kwa wauzaji wa duka la dawa muhimu wa Manispaa ya Iringa wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi...
5 years ago
MichuziMARUFUKU KUOSHEA MAGARI ENEO LA NDIUKA.-RC HAPI
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akiwa katika eneo la Ndiuka ambako ndio chanzo cha maji yanayotumiwa na wakazi wa manispaa ya Iringa kwa kiasi kikubwa yanazalishwa hapo.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akieleza jambo kuhusiana na marufuku aliyoitoa
FREDY MGUNDA,IRINGA.
KUTOKANA na uchafunzi wa Vyanzo vya maji,Afya za wananchi wapatao laki 1.78 wanaoshi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na pembezoni mwa mji ziko hatarini kukumbwa na magonjwa mbalimbali.
Hayo yamebainika...
10 years ago
MichuziCourt hears a case against the Government of Uganda on a hydro power unit construction dispute
The Applicant, Mr. Henry Kyarimpa represented by his Lawyer Mr. Mohamed Mbabazi asked the Court to find that the MoU signed by Uganda and China was an infringement of the provisions of the Treaty for the...
5 years ago
MichuziRC HAPI APOKEA MSAADA KUTOKA KWA QWIHAYA KUSAIDIA KUPAMBANA NA CORONA
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Kampuni ya uzalizaji wa nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprises imekabidhi msaada wa zaidi ya shilingi milioni kumi kwa mkuu wa mkoa...