RC KAGERA AWASHUKIA VIONGOZI NGAZI ZOTE
![](https://1.bp.blogspot.com/-gkzq3_sw3Bw/XkRGgIMMdFI/AAAAAAAAmps/BLdjWqes1IsVMKf2QD5BDnOamia__VfWwCLcBGAsYHQ/s72-c/O.jpg)
Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti akizungumza na viongozi wa mkoa huo.
Na Lydia Lugakila-: Kagera
Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti ameagiza viongozi wa ngazi zote mkoani Kagera kuacha Mara moja masuala ya migogoro na mivutano inayovuruga amani na kukwamisha maendeleo ya mkoa na taifa kwa ujumla.
Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti ametoa agizo hilo katika kikao maalum cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC) kilichofanyika katika ukumbi wa...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Kinana awashukia viongozi goigoi
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Diwani CHADEMA awashukia viongozi
MWENYEKITI wa Madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kinondoni, Boniface Jacob amewashukia baadhi ya viongozi wa manispaa hiyo na mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutoa...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Slaa awashukia viongozi wa Serikali
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Mutungi awashukia viongozi wa vyama
9 years ago
Dewji Blog23 Sep
Karsan awashukia viongozi wa dini, wanahabari
Mgeni rasmi Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (wa pili kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Nyanza jijini Mwanza kushiriki maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani duniani ambapo kitaifa yamefanyika jijini Mwanza. Kushoto ni Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-o6MEnD5NZhI/U_DW8trzcSI/AAAAAAAGATg/hfLzSZDPaIU/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Serikali yawapiga msasa viongozi wa elimu ngazi ya Mikoa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PYUwYRg0vVU/XnWw5H7LzxI/AAAAAAALknM/3nsdacw3ToUjTMm_NqU-EA74HgHFaJbWwCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA-1.png)
Corona yasitisha uchaguzi wa viongozi wa CWT Ngazi za wilaya
![](https://1.bp.blogspot.com/-PYUwYRg0vVU/XnWw5H7LzxI/AAAAAAALknM/3nsdacw3ToUjTMm_NqU-EA74HgHFaJbWwCLcBGAsYHQ/s640/PICHA-1.png)
Katibu wa chama cha walimu CWT mkoa wa Njombe Mwalimu Fraten
KwaisonNa Amiri kilagalila,Njombe
Kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona (COVID 19) unaeoendelea kuenea nchi nyingi Duniani huku Tanzania ikifikia wagonjwa 6 mpaka sasa kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waziri wa afya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Ummy Mwalimu.
Katibu wa chama cha walimu CWT mkoa wa Njombe Mwalimu Fraten Kwaison amesema kutokana na agizo la serikali kuwataka watanzania kutokujihusisha na mikusanyiko...
10 years ago
MichuziMWIJAGE AIUNGA MKONO TIMU YA RAS KAGERA FOOTBALL CLUB KWA KUICHANGIA MILIONI MOJA ILI ISHIRIKI LIGI DARAJA LA PILI NGAZI YA KANDA
Na Faustine Ruta,Bukoba
Katika kutengeneza ajira kwa vijana na kuuendeleza mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kutoka sehemu mbalimbali na ndani ya mkoa, Katibu Tawala wa Mkoa Bw. Nassor Mnabila aliamua kuanzisha timu ya mpira ya mkoa wa Kagera.
Madhumuni ya kuanzisha timu hiyo ni kuuleta mkoa wa Kagera pamoja, kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji vya michezo aidha kuutangaza mkoa nje na ndani ya nchi kuhusu fursa za uwekezaji zinazopatikana ndani ya mkoa wetu wa Kagera.
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
Uteuzi wa Balozi wa Tanzania nchini Malawi na viongozi ngazi mbalimbali Wizara ya Mambo ya Nje
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Victoria Richard Mwakasege (pichani) kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Mwakasege alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania nchini Burundi.
Aidha, Rais Kikwete amemteua Msaidizi wa Rais wa Diplomasia, Balozi Samwel Shelukindo kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Kimataifa.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10