Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ridhiwani assumes role as new legislator for Chalinze

>President Jakaya Kikwete’s son, Ridhiwani, officially assumed his new role as an MP follwoing his swearing in yesterday.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani ashukuru Chalinze

Ridhiwani KikweteRIDHIWANI Kikwete, Mbunge Mteule wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani amesema kuwa yeye ni mbunge wa watu wote wa Jimbo la Chalinze.

 

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani achanja mbuga Chalinze

MGOMBEA Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete anaendelea kufanya vizuri wakati matokeo ya kuwania nafasi hiyo yakiendelea kuhesabiwa kutoka vituo mbalimbali vya jimbo la Chalinze.

 

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani athibitishwa na CCM Chalinze

Ridhiwani KikweteKAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua, Ridhiwani Kikwete, kuwa mgombea katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, unaotarajiwa kufanyika Aprili 6, mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

CCM: Ridhiwani suluhisho Chalinze

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani, Mwishee Mlau amesema mwenye uwezo wa kutatua changamoto zilizopo katika Jimbo la Chalinze ni mgombea wa chama hicho, Ridhiwani Kikwete na sio mgombea mwingine.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanne kumvaa Ridhiwani Chalinze

Vyama vinne vimejitokeza kusimamisha wagombea wao ili wapambane na Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwan Kikwete ambaye tayari amepitishwa na chama hicho tawala kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

Mshindani wa JK kupambana na Ridhiwani Chalinze

Aliyekuwa mshindani wa Rais Jakaya Kikwete katika uchaguzi wa Jimbo la Chalinze mwaka 2000 kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (Cuf), Fabian Leonard atapambana na mtoto wa rais huyo, Ridhiwani Kikwete katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo utakaofanyika Aprili 6, mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Chalinze waelezwa kwanini Ridhiwani anawafa

VIONGOZI waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamewaomba wakazi wa Jimbo la Chalinze kumchagua Ridhiwani Kikwete ili aende kusaidia kudhibiti ubadhirifu Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani