Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rihanna aanzisha kampuni ya urembo na mitindo, Fr8me

rihanna

Rihanna anazidi kuimarisha biashara zake kwa kuanzisha kampuni ya masuala ya urembo na mitindo iitwayo Fr8me.

rihanna

Kwa mujibu wa mtandao wa The Hollywood Reporter, kampuni hiyo ya Los Angeles itawasaidia wasanii kupata matangazo, upigaji picha wa majarida na kujiandaa na matukio ya red carpet.

Watu watakaosimamia kampuni hiyo ni pamoja na makeup artist wake, Mylah Morales, stylist Jason Bolden anayefanya kazi na Taraji P. Henson, hairstylist Patricia Morales anayefanya kazi na Fergie na Marcia...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

RIHANNA AANZISHA KAMPUNI YA UREMBO (FR8ME)

Muimbaji mkubwa kutoka nchini marekani, Rihanna Robin Fenty ‘Rihanna. DIVA anayekimbiza duniani kutokana na uwezo wake mkubwa wa uimbaji, Rihanna Robin Fenty ‘Rihanna’ ameanzisha kampuni inayoshughulika na masuala ya urembo ambayo itamuingizia kiasi kikubwa cha fedha kutokana na umaarufu wake. Kwa mujibu wa Mtandao wa Hollywood Reporter wa Marekani, Rihanna ameanzisha kampuni hiyo inayotambulika kama Fr8me akishirikiana na...

 

11 years ago

Mwananchi

Rihanna: Nyota anayezua gumzo kwenye mitindo

Unapozungumzia wanawake wanaofanya vizuri kwenye muziki duniani, lazima Rihanna atakuwa kwenye orodha hiyo kutokana na uwezo wake mkubwa katika fani hiyo yenye mashabiki wengi kila kona ya ulimwengu.

 

9 years ago

GPL

SIMULIZI YA MRISHO MPOTO: AANZISHA KAMPUNI, APELEKWA MAHAKAMANI

MPENZI msomaji wa simulizi hii tamu ya Mrisho Mpoto, wiki iliyopita tuliishia pale Mrisho alipoamua kuanzisha Kipindi cha Bongo Dar es Salaam na kufanikiwa kumuweka Dude lakini Dude huyohuyo akalewa sifa na kutaka kumgeuka ambapo alienda Televisheni ya Taifa (TBC) na kudai apewe mkataba mpya bila Mrisho kujua. Alikataliwa, je unajua kilichoendelea?Songa nayo sasa... “TBC wakaendelea kumgomea Dude kwamba hawawezi kuukatisha...

 

9 years ago

Bongo5

Daz Baba aanzisha kampuni ya kutengeneza video, ‘Premiere MK’

Daz-Baba11

Msanii wa kundi la zamani Daz Nundaz, Daz Baba, amefungua kampuni yake ya kufanya video iitwayo ‘Premiere MK.’

Daz-Baba11

Rapa huyo aliyewahi kutamba na wimbo ‘Namba 8’ ameiambia Bongo5 kuwa kampuni hiyo tayari imeshazinduliwa kwa kufanya video ya wimbo wake mpya uitwao Viwanjani.

“Lengo la kampuni yetu ni kusogeza sanaa mbele kwa sababu watu wengi wenye kampuni zao za video wanaringa sana. Kwahiyo tukaamua kuanzisha kampuni yetu ili itusaidie sisi pamoja na wasanii wengine. Kwahiyo kupitia kampuni...

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Chemicotex yaja na bidhaa ya Tressa kwa ajili kuboresha urembo wa nywele za Mtanzania

Baadhi ya wanamitindo wakionyesha umahili wao wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana. Msanii wa nyimbo za kizazi kipya, Elias Barnabas akiimba huku akipiga gitaa wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa.Uziduzi ulifanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana. Mkurugenzi wa Bendi ya Machozi, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’(kushoto) akiimba sambamba na waimbaji wake wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPATIWA MAFUNZO YA UREMBO NA MSHAURI WA KITAALAMU WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA MARY KAY

  Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichagua vipodozi mbalimbali vya kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo (Mary Kay) wakati wa mafunzo mafupi  ya jinsi ya kujiremba kwa kutumia vipodozi hivyo.Mafunzo hayo yaliandaliwa na Idara ya Rasilimali watu ya kampuni hiyo mahususi kwa wafanyakazi wake. Jacqueline Macha ambaye ni mshauri wa kitaalamu wa kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo ya Mary Kay akiwaonesha wafanyakazi wa Vodacom Tanzania...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA UREMBO YA MARY KAY, YATOA DARASA KWA WAFANYAKAZI WA KIKE WA VODACOM KUHUSU MATUMIZI YA VIPODOZI

Mshauri wa kitaalamu wa kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na masuala ya urembo ya (Mary Kay) Jacqueline Macha(kulia)akimremba Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu , Vodacom Tanzania,Joan Makwai,wakati wa mafunzo mafupi ya jinsi ya kutumia vipodozi vya kampuni hiyo yaliyoandaliwa na Idara ya Rasilimali watu ya Vodacom Tanzania,mahususi kwa wafanyakazi wake jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichagua vipodozi mbalimbali vya kampuni ya kimataifa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je Urembo wa kujichubua ni urembo?

Kutana na Vera Sidika, mkenya maarufu aliejichubua ngozi na sasa anasema wengi wanaomkosoa ni wanafiki

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani