River Plate ya Argentina yatinga fainali
Timu ya River Plate ya Argentina, imekua timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la dunia la vilabu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo510 Jul
Argentina yailaza Uholanzi 4-2, fainali Argentina na Ujerumani july 13
Timu ya soka ya Argentina imejikatia tiketi ya kufuzu kwa fainali yake ya kwanza tangu mwaka 1990 baada ya kuilaza timu ya Uholanzi kwa goli 4-2, ambapo fainali itachuana na Ujerumani july 13 siku ya jumapili. Katika mchezo huo wa nusu fainali wa jana, Argentina na Uholanzi zilitoka sare tasa baada ya muda wa kawaida […]
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Arsenal yatinga fainali ya FA
Makosa ya kipa Adam Federic yalipaatia Arsenal ushindi huku mechi hiyo ikikamilika 2-1 kupitia mabao yaliofungwa na Alexi Sanchez.
10 years ago
BBCSwahili13 May
Barcelona yatinga fainali
Miamba ya soka ya Hispania Barcelona, wamefanikiwa kutinga fainali baada ya kuibwaga Bayern Munich kwa jumla ya mabao 5-3 .
9 years ago
BBCSwahili25 Oct
New Zealand yatinga fainali
Timu ya taifa ya mchezo wa raga ya New Zealand wamefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya dunia
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Arsenal yatinga robo fainali FA
Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali na kukomesha safari ya Middlesbrough kwa kuifunga 2-0.
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Borussia Dortmund yatinga fainali
Borussia Dortmund imetinga Fainali ya Kombe la ujerumani (DFB-POKAL)baada ya kuwabwaga Mabingwa Watetezi Bayern Munich
10 years ago
BBCSwahili12 Sep
Marekani yatinga fainali kikapu
Marekani imetinga fainali kombe la dunia mpira wa kikapu kwa kuichapa Lithuania vikapu 96-68.
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Ghana yatinga nusu Fainali
Ghana imekua timu ya tatu kutinga nusu fainali ya kombe la mataifa ya Afrika ,baada ya kuibanjua Guinea kwa mabao 3-0.
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Fainali : Argentina vs Ujerumani
Hauchi hauchi hatimaye fainali ya kombe la dunia ni leo ! Argentina inachuana dhidi ya Ujerumani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania