Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIYAMA AJIVUNIA KUPUNGUA UNENE

Stori: Imelda Mtema
MIEZI michache baada ya kutoka kujifungua, staa wa sinema Bongo, Riyama Ally (pichani) amefunguka kuwa amefurahia kupungua unene kwa mazoezi aliyoyafanya kwani sasa ameanza kuigiza.
Akizungumzia mikakati yake mipya, Riyama alisema: “Bila kupungua nisingeweza kuigiza kama zamani, sasa nimeigiza sinema ya…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Riyama Ajivunia Maneno ya Kiswazi

Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally, ameibuka  na kusema anajivunia  kuwa na manenona misemo ya kiswazi  ambayo huzungumzwa na wanawake wanaishi sehemu  za uswahilini ndiyo maana amekuwa akishirikishwa kwenye Filamu nyingi.

Akizungumza  na  Tanuru la Filamu jana, Rayama  alisema  kuwa filamu mpya iitwayo WOGA  ambayo ipo madukani sasa imesababisha watu wengi wahisi kama ndivyo alivyo hata akiwa nyumbani kwake kwa sababu uhusika alioubeba  huku unaonekana ndivyo tabia yake.

“Nine kila sababu...

 

11 years ago

Mwananchi

Unene, shida na matibabu

Unene(obesity), ni ugonjwa unaokua kwa kasi kipindi hiki ukiambatana na madhara makubwa kiafya hata vifo.

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUPUNGUZA UNENE WA KUPINDUKIA-2

Tulieleza jinsi watu wenye vitambi au wanene wanavyopata shida na maradhi mbalimbali na wiki iliyopita tulieleza jinsi ya kupunguza unene, leo tunaendelea kuelekeza. Anza kukimbia kwa kasi ndogo halafu ongeza kasi. Au unaweza kukimbia kwa kasi ya juu dakika 5 na kisha kupunguza hadi 3. Hii inaitwa interval training, yenye lengo la kukupa uwezo wa kufikisha dakika 30, kuchoma mafuta mwilini na kupunguza mapigo ya moyo ili yarudi...

 

11 years ago

Michuzi

reminder ya programu ya kupunguza unene

Unajua kwamba unene wa kupindukia (overweight) unakuweka katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa mengi yakiwemo ya moyo,kisukari  presha n.k. ?  Kukabiliana na tatizo la unene ni chaguo lako na sisi tutakusaidia kutimiza lengo lako kupungua kilo unazotaka kwa kutumia programu yetu (Natural and healthy program) . Inakufikia popote ulipo. CLEAN 9. Ni muhimu katika kupunguza mwili kwasababu inafanya kazi ya kusafisha mwili,kuondoa sumu mwilini,kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini na kukupa...

 

11 years ago

GPL

JINSI YA KUPUNGUZA UNENE WA KUPINDUKIA

UNENE wa kupindukia ni ugonjwa na wasomaji wengi wametaka tuwasaidie kuwaeleza njia ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo. Kuna njia nyingi sana ambazo hutumiwa na watu ili kupunguza mwili na tumbo, lakini baadhi huwa ngumu sana au zinakuwa haziendani na mazingira wanayoishi, hivyo watu wengi hushindwa njiani. Zipo njia za kutumia madawa au kahawa, chai ya kupunguza uzito na vinginevyo ambazo huwa si za kudumu na hata baadhi ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hoja ya unene katika ndoa

Je ni kweli wanawake walio katika ndoa kuwa wanene kupita kiasi ndio sababu ya waume zao kuwa na mipango ya kando?

 

10 years ago

GPL

UNENE WAMTESA SELENA GOMEZ

Staa wa muziki wa Pop, Selena Gomez. NEW YORK, MAREKANI WAZUNGU bwana! Staa wa muzikiwa Pop, Selena Gomez ameendelea kuteswa na unene ulioongezeka kwa muda mfupi huku mitandao ya kijamii ikimshambulia. Staa huyo aliyekuwa mpenzi wa staa mwenzake wa muziki, Justin Bieber kupitia ukurasa wake wa Instagram, mashabiki wake wengi wameonekana kukerwa na unene huo jambo linalomnyima usingizi staa huyo. Kabla hajaongezeka… ...

 

10 years ago

GPL

MAGOJWA YANAYOAMBATANA NA UNENE (OBESITY)-2

Magonjwa yanayo ambatana na unene tumekuwa tukiyajadili tangu wiki iliyopita, leo tunahitimisha mada hii. Kupungua uzito, kuudhibiti au kutunza uzito alionao mtu baada ya kupunguza uzito ni jambo la msingi mno na ni suala linalohusisha kufanya mazoezi, kula lishe bora na mabadiliko mengineyo kama ifuatavyo:- 1) Mabadiliko ya tabia, mtu mwenye unene wa kupindukia anapaswa kupunguza kiwango cha chakula anachokula lakini kiwe chenye...

 

11 years ago

GPL

KUPUNGUZA UNENE WA KUPINDUKIA KWA UPASUAJI

Na Dk Mandai A. Simu 0717961795, 0754391743 WIKI iliyopita nilieleza kuhusu kalori mwilini isivyotakiwa kuzidi.
Suala muhimu  la kujadili leo ili kupunguza unene wa kupindukia au obesity tulishajadili hasa kuhusu kufanya mazoezi kila siku kwa dakika 30 na tukashauri kuwa wale wenye uzito kupita kiasi wanapaswa kushauriwa na madaktari kabla ya kuanza mazoezi. Leo tuangazie njia nyingine ya kupunguza unene tukianza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani