Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIYAMA: NIMEMPITA BABA WATOTO WANGU MIAKA 10

Staa mkali wa filamu Bongo, Riyama Ally akiwa na mwanaye aitwaye Fatma. Na Imelda Mtema/Amani STAA mkali wa filamu za Bongo, Riyama Ally amefunguka kwa kinywa chake kuwa baba aliyezaa naye mtoto wake wa kike aitwaye Fatma, amempita takriban miaka 10. Riyama alizungumza hayo alipokuwa akihojiwa katika kipindi kimoja cha TV na kusema kuwa hakuna chochote kinachohusiana na umri katika suala la mapenzi kwa sababu ingekuwa kuna...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Zari: Sijawatelekeza watoto wangu, ninakaa nao siku 300, baba yao siku 65

Mrs Diamond Platnumz, Zari Ttale aka The Bosslady amesema hajawatelekeza watoto wake tofauti na watu wengi wanavyomshutumu kwakuwa siku za hivi karibuni amekuwa akiongozana na mpenzi wake huyo mpya. Zari amesema katika mwaka hukaa na wanae kwa siku 300 na zingine zilizosalia hukaa kwa baba yao ambaye walishaachana. “That awkward moment when everyone thinks you […]

 

11 years ago

GPL

MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU

STORI: MAKONGORO OGING’
Regina Kihosa (62), mkazi wa Kosolameba mkoani Kigoma amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kufuatia gonjwa la ajabu lililompata huku akidai kwamba limetokana na wachawi ambao wanausumbua mji wake. Regina Kihosa akiteseka kwa gonjwa la ajabu. KWANZA AMEPOTEZA WATOTO WANANE
Mama huyo amelazwa katika hospitali hiyo jengo la Sewahaji,wodi namba 24 akiendelea na matibabu na ana mawazo mengi...

 

9 years ago

Bongo5

H.Baba azirejesha ‘Tuzo za Familia’ Dully Sykes na Riyama washinda (Picha)

Dr. Fadhili Emily akiiwakilisha The Fadhaget Sanitarium Clinic akimkabidhi Tanzanite tuzo ya ubalozi wa Kliniki hiyo

Tuzo za Familia za msanii wa muziki, H.Baba akishirikiana na mke wake, Flora Mvungi zimefanyika kwa mara ya pili, Jumapili hii ndani ya City Style Hotel iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam ambapo wawili hao waliondoka na tuzo na Best Couple of The Year 2015.

Flora Mvungi akijiandaa kumkabidhi Riyama tuzo
Flora Mvungi akijiandaa kumkabidhi Riyama tuzo

Katika tuzo hizo, Dully Sykes aliondoka na tuzo ya Hall Fame of The Year 2015 kwa upande wa muziki huku Riyama Ally akiondoka na Hall Fame Of The Year 2015 kwa upande wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama Atoboa Kuhusu Kupenda Watoto

Mwigizaji wa filamu mwenye kukonga nyonyo za mashabiki na wapenzi wengi wa filamu hapa Bongo, Riyama Ally leo amefunguka kuhusiana  na upendo wake kwa watoto tangu alipokuwa mtoto na kusisitiza kuwapende watoto.

“Napenda sana watoto tangu na mie nilipokuwa mtoto ilikua mtaani akizaliwa mtoto hiyo ndio maskani yangu hakuna kula hakuna kuoga ni kuenda kubeba mtoto nitatafutwa nikikosekana Tu wa nauliza wapi kuna kachanga wakijua tu hawana wasi wasi tena watanifata na kunibembeleza nirudi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa miaka 9 aozeshwa na baba yake kwa mwanaume mwenye miaka 60

 Untitled

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9).

Untitled 1

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi.

2 (2)

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia).

3

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo,...

 

11 years ago

Mwananchi

Baba wa miaka 54 aoa mtoto wa miaka minane

Polisi Wilaya ya Bunda, wanamshikilia baba mwenye umri wa miaka 54 kwa tuhuma kuoa mwanafunzi wa kike wa umri wa miaka minane.

 

9 years ago

Bongo Movies

Riyama Afunguka ya Moyoni Mtoto Wake Kufiakiasha Miaka Mitatu

Alhamdulilah Asante MUNGU kwa kila kitu Asante Kwa zawadi ya Fatma hakika furaha yangu haiwezi kusemeka ni faraja ni tumaini ni kila kitu kwangu Asante kunifanya niitwe mama wewe kwangu ni muangaza uliojaa tumaini la pekee @fetydamwan na muomba mola anijalie uhai na uzima Afya njema na nguvu hekma na busara nikulee vyema mama nikusomeshe ili uje kunilea siku za usoni ukawe mtoto wa kheri unijue mimi mama na ukawajue kina mama wote ukawapende kama unavo ipenda na ukawaheshimu NAKUPENDA...

 

9 years ago

Mtanzania

Smith: Watoto wangu hawanisikilizi

smithsNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa filamu na muziki nchini Marekani, Will Smith, amedai kwamba watoto wake kwa sasa wanajiona wamekuwa hivyo hawasikilizi ushauri wake.

Msanii huyo amesema kuwa awali watoto wake walikuwa wanausikiliza ushauri wake, lakini kwa sasa wamekuwa ndiyo maana wanapuuzia ushauri wake.

“Kila nikijaribu kuwashauri inakuwa ngumu kunielewa, lakini zamani walikuwa makini na kile ninachokisema, ila sishangai najua wamekuwa na kujiona wanaweza kujiongoza katika baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wako wapi watoto wangu, familia yangu?’

>Ama kweli ajali haichagui maskini wala tajiri.  Inasikitisha kwani ni mwanamke asiye na uwezo anayeishi kufanya biashara ya kuuza ndizi anazotembeza barabarani.  Hata hivyo, hivi sasa maisha yake yamezidi kuwa magumu kwa kuwa hajui familia yake ilipo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani