Riyama Atoboa Kuhusu Kupenda Watoto
Mwigizaji wa filamu mwenye kukonga nyonyo za mashabiki na wapenzi wengi wa filamu hapa Bongo, Riyama Ally leo amefunguka kuhusiana na upendo wake kwa watoto tangu alipokuwa mtoto na kusisitiza kuwapende watoto.
“Napenda sana watoto tangu na mie nilipokuwa mtoto ilikua mtaani akizaliwa mtoto hiyo ndio maskani yangu hakuna kula hakuna kuoga ni kuenda kubeba mtoto nitatafutwa nikikosekana Tu wa nauliza wapi kuna kachanga wakijua tu hawana wasi wasi tena watanifata na kunibembeleza nirudi...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziWAZAZI WEZESHENI WATOTO WAKIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI - MAEMBE
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Ray Atoboa ya Moyoni Kuhusu Filamu ya OPRAH
“Ni kati ya movie ninazozipenda sana . pia naweza thubutu kusema ni movie iliyofanya mabadiliko makubwa sana kwenye film industry nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yetu. pia ndiyo movie iliyomtangaza Irene Uwoya kwenye ulimwengu wa filamu. kwa hiyo nina kila sababu ya kuipenda movie hii. OPRAH HOT SUNDAY”. Ray ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya kasha la filamu hiyo.
Wewe kama mdau unamaoni gani juu ya kazi hii ya OPRAH iliyotoboa mipaka ya nchi?...
10 years ago
Bongo Movies19 Apr
Mtunis Atoboa Haya Kuhusu Tasnia ya Filamu
Staa wa Bongo Movies, Nice Mohammed ‘mtunis’ amesema kuwa tasnia ya uigizaji inahitaji umakini zaidi ili kujikosoa penye makosa. Alisema licha ya kwamba filamu zinadaiwa hazilipi hiyo siyo sababu yakutayarisha zisizokuwa na ubora.
Alifafanua hata wakongwe wanapoibua chipukizi wanapaswa kuzingatia wenye vipaji zaidi ili tasnia huyo iendelee kufanya vizuri .
Alieleza kuwa hakuna kitu kibaya kama mtu anayekuamini akikudharau harudi nyuma, hivyo kwa kuwa makini kutayarisha filamu bora na...
10 years ago
Bongo Movies09 Jun
Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Mzazi Mwenzie
Staa wa Bongo Movies, aunt Ezekiel amaeamua kuatoboa kuhusu baba mtoto wake Moses Iyobo kwa kudai kuwa ndiye baba halisi wa mwanae na anampenda kwa dhati todauti na baadhi ya watu wanavyomtafsiri kuwa yeye ni mpenda hela!
Aunt aliyaongea hayo katika mahojianao maalumu na kusema kuwa kama kuna watu wanaomtafsiri kama yeye ni mpenda hela na hawezi kujkaa na Iyobo kiatendo ambacho sio cha kweli katika moyo wake kwani anachohitaji kutoka kwa Iyobo ni mapenzi tu.
“Nataka ni weke wazi kuwa...
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Wito wa Serikali kwa wazazi; Wahamasisheni watoto wa kike kupenda masomo ya sayansi
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Ali Kiba: Atoboa kuhusu 'mapenzi' na Lulu,ugomvi na Diamond-2
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Wasanii wa Bongo Movies Kujitengenezea ‘Skendo’
Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amesema baadhi ya wasanii wa bongo movies hawajitambui ndio maana kazi zao nyingi hazina mvuto badala yake nguvu nyingi wameelekeza kubuni skendo wakitarajia ndio zitawatoa kisanaa.
Alisema wasanii wengi wanatumia muda mwingi kutafakari jinsi ya kutengeneza skendo ili watume kwenye mitandao na kuandikwa kwenye magazeti lakini hawana ubunifu wa kutengeneza filamu zenye ushawishi kwenye jamii.
Aunt ambae kwenye filamu ya Chozi la...
10 years ago
GPLRIYAMA: NIMEMPITA BABA WATOTO WANGU MIAKA 10
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Hapa na Pale: JB Atoboa Kuhusu Filamu Yake ya Singnature Ilivyopigwa Chini na Steps
“Leo nimejisikia kuongelea filamu zangu za zamani.samahani kwa picha ya cover lakini hembu tukumbuke, hapa niliwakutanisha Aunt,Wolper,Odama na Cloud112 kwenye filam hii na nyingine ya 14 days nilizitengeneza muda mrefu sana 2009 lakini nikazipeleka sokoni kwa pamoja, Steps wakasema watachukua 14days tu, hivyo hii signature nikamuuzia Kapico baada ya mwaka 1 aliomba kuinunua tena toka Kapico kwa bei kubwa zaidi.inaitwa signature”. JB amebandika mtandaoni andiko hili.
Kama umeziangalia...