Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RIYAMA YUPO GYM ANAPIGA TIZI

Stori: Hamida Hassan
MKALI wa sinema za Kibongo, Riyama Ally amesema, uzazi umesababisha mwili wake kuwa tipwatipwa lakini sasa ameshaanza mazoezi gym yenye lengo la kupunguza mwili ili arejeshe mwonekano wake wa awali. Riyama Ally. Akichonga na Stori Mix, hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Riyama alisema unene wake umesababishwa na maakuli ya kufa mtu aliyokuwa akiyapata baada ya kujifungua. “Kama unavyojua tena, ukiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Uhuru anapiga tizi dk 480 kwa siku Sauz

UhuruSeleman1Na Omary Mdose

UKIAMUA unaweza lakini lazima uwe umeshinikizwa na kitu fulani ili kufikia kilele cha mafanikio, kwani Uhuru Selemani sasa anafanya mazoezi kwa muda wa saa nane kwa siku huko Afrika Kusini.

Uhuru aliyewahi kucheza Coastal Union, Simba na Azam FC sasa anachezea Royal Eagles inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Afrika Kusini lakini analazimika kufanya mazoezi zaidi ili kupata nafasi fisrt eleven.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Uhuru ambaye yupo nchini kwa mapumziko, alisema...

 

11 years ago

GPL

NISHA BADO YUPO YUPO SANA

Stori: Chande Abdallah Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameweka wazi kwamba bado yupoyupo sana linapokuja suala la kuolewa. Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na mwanahabari wetu, mwigizaji huyo alisema kuwa anatambua kuwa yeye kama mwanamke aliyetimia lazima atakuja. kuolewa siku moja, lakini siyo hivi karibuni.
“Natambua mwanamke aliyetimia lazima...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa akipiga tizi mjini dodoma leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifanya mazoezi katika mitaa ya mji wa Dodoma mapema leo asubuhi kabla ya kwenda kuhudhulia vikao vya Bunge maalum la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.Mh. Lowassa aliwahi kutamba sana kwenye mchezo wa mpira wa kikapu zamani.

 

11 years ago

Michuzi

Jhikoman katika tizi la Uzee mwisho Chalinze ndani ya Ujerumani

 Mwanamuziki maaruffu wa Reggae barani Afrika Jhikoman ambaye anatarajia kupanda jukwaani wiki hii katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen,2014,Germany. mwanamuziki (pichani) akiwa katika mazoezi ya viungo maarufu kama 'Uzee mwisho Chalinze' ndani ya Ujerumani. kwa wale wanataka kumpa Hi! +49(0)15211229655 Kilomita 10 kila asubuhi si mchezo

 

10 years ago

Michuzi

JK APIGA TIZI MARA TATU KWA SIKU KUIMARISHA AFYA YAKE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazoezi leo katika viwanja vya Ikulu kufuatia ushauri wa madaktari waliomtaka afanye hivyo mara tatu kwa siku ili kuendelea kuimarisha afya yake baada ya kufanyiwa upasuaji mwezi uliopita katika hospitali ya Johns Hopkins nchini Marekani. 
Picha na Ikulu

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya UBA yaendelea na utaratibu wa kupiga tizi pamoja na wateja wao

Wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), wakishindana kuvuta kamba wakati wa mazoezi waliofanya jijini Dar es Salaam jana kutokana na utalatibu waliojiwekea kwakila baada ya miezi mitatu hufanya mazoezi pamoja na wateja wao. Mwalimu wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu wa mazoezi hayo, FIAT, Ray Mwamakula (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), kufanya mazoezi Dar es Salaam jana. Mwalimu wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani