ROBERTO: MTANGAZAJI ALIYETOLEWA N A AMARULAH

Mwanamuziki kutoka nchini Zambia, Roberto. Andrew Carlos MWAKA 2000 aliibuka mwanamuziki wa kike kutoka nchini Zambia, Samantha Tamania Anne Cecilia Mumba ‘Samantha Mumba’ na kuweka historia Afrika kuwa miongoni mwa wanamuziki walioteka ulimwengu wa muziki wa R&B kupitia ngoma kama Gotta Tell You. Mwaka 2002 akaionesha Afrika na dunia nzima kuwa hakubahatisha baada ya kuibuka tena na Ngoma ya I’m Right Here...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL24 Aug
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Roberto Martinez aitupia lawama FA
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Klabu ya Everton, Roberto Martinez, amekitupia lawama Chama cha Soka nchini Uingereza kwa utaratibu wa dirisha la usajili kuwa wazi wakati Ligi Kuu ikiwa inaendelea.
Martinez amesema kuwa hali hiyo itawafanya wachezaji wasifikirie michezo inayokuja na kuwazia juu ya kusajiliwa.
Ligi hiyo imeanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki iliyopita lakini dirisha la usajili linatarajia kufungwa Septemba 1 mwaka huu.
Martinez ameyaeleza hayo baada ya kutoka sare ya 2-2 dhidi ya...
9 years ago
Bongo515 Dec
New Video: Butera Knowless f/ Roberto – Te Amo

Video ya wimbo mpya wa msanii wa Rwanda, Butera Knowless aliyomshirikisha Roberto wa Zambia. Wimbo unaitwa Te Amo (Nakupenda) na video imeongozwa na Enos Olik.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo510 Oct
Music: Roberto Ft. Patoranking — Amarula Remix
9 years ago
Bongo503 Dec
Roberto wa ‘Amarula’ kutumbuiza Dar, December 11

Amehit mno kwa wimbo wake Amarula. Hata watoto wadogo wamesikika wakiuimba wimbo huo.
Na sasa mashabiki wa muziki wa Dar es Salaam watapata fursa ya kumuona live mkali huyo kutoka nchini Zambia.
Roberto atatumbuiza Ijumaa ijayo, December 11 kwenye fukwe za Escape One maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi tu.
Hii ni mara ya kwanza kwa msanii huyo wa Brotherhood Music Crew, kutumbuiza Dar, lakini ya pili Tanzania kwakuwa miezi kadhaa iliyopita...
10 years ago
Bongo505 Oct
Roberto wa Amarula kufanya kolabo na msanii wa Tanzania
10 years ago
Bongo520 Oct
Video: Roberto Ft. Sebastian Dutch — Am Gon Love Her
5 years ago
Liverpool Echo18 Mar
Roberto Firmino's life changed in 30 minutes that set path for Liverpool
10 years ago
Vijimambo