Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Root Capital na Small Foundation ya marekani waliotembelea mradi wa ufuta babati

 Ofisa mazao wa mradi wa uzalishaji na masoko wa ufuta wa shirika la Farm Africa Mkoani Manyara,Tumaini Elibariki (aliyeshika zao hilo kulia) akitoa maelezo kuhusiana na mimea ya zao la ufuta kwa wageni wa kutoka Marekani Root Capital na Small Foundation waliotembelea mradi wa ufuta juzi Kijiji cha Ngoley Wilayani Babati.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA UFUTA WILAYANI BABATI WAPEWA MASHINE ZA KUKAMUA UFUTA

Ofisa Masoko wa Shirika la Farm Africa,Rahel Pazzia (kushoto) akikabidhi mashine ya kukamua ufuta kwa wana kikundi wa wakulima wa ufuta wa kikundi cha Faraja na Chemchem kwenye Kijiji cha Vilima Vitatu, Wilaya ni Babati Mkoani Manyara jana. Wanakikundi wa Sayuni na Mti wa maziwa, ambao ni wakulima wa zao la ufuta wa Kijiji cha Ngolley Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakiwa na mashine yao ya kukamua ufuta baada ya kukabidhiwa na Ofisa Masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia.

 

11 years ago

Mwananchi

Babati wanufaika kilimo cha ufuta

Wakulima 397 wa vijiji vya Kakoi na Endadosh katika Wilaya ya Babati mkoani Manyara wamenufaika na kilimo cha ufuta baada ya kupatiwa mafunzo ya kilimo bora kwa kutumia kifaa maalumu cha kielektroniki.

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA MKULIMA WA UFUTA BABATI YAFANA SANA

Wasanii wa Goroa Tradition Dancing group wa Kata ya Qash Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakitoa burudani kwa wadau wa zao la ufuta, kwenye siku ya mkulima iliyofanyika katika kitongoji cha Maweni, Kata ya Endadosh Wilaya ya Babati Mkoani Manyara. Afisa kilimo wa mradi wa ufuta wa shirika la Farm Africa, Tumaini Elibariki akimsikiliza Mtafiti wa Biosciences for Farming in Africa, kutoka London Uingereza, Claudia Canales kwenye siku ya mkulima iliyofanyika juzi katika kitongoji cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Kilimo cha ufuta chawainua wakulima Babati

“Kabla ya kujishughulisha na kilimo cha ufuta, nilikuwa na hali ngumu kiuchumi, nilikuwa nalima karanga na pamba, ila sasa nalima ufuta na nimejenga nyumba bora ya kisasa, nafuga ng’ombe, kuku na kusomesha watoto.”

 

11 years ago

Michuzi

wanakijiji wa babati wapatiwa mashine za kukamua ufuta

 Baadhi ya wakulima wa vikundi vya Msange na Changamkeni wa Kijiji cha Vilima Vitatu, Kata ya Nkaiti, Tarafa ya Mbugwe, Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara, wakijaribu mashine yao ya kukamulia ufuta baada ya kukabidhiwa jana na Ofisa Masoko wa shirika la Farm Africa, Rahel Pazzia, ambapo shirika hilo liligawa mashine 10 kwenye vikundi 18 vya wakulima wa Tarafa hiyo. Wakulima wa vikundi vya Mkombozi na Shamabo wa Kijiji cha Shaurimoyo, Kata ya Nkaiti Tarafa ya Mbugwe, Wilaya ya Babati,...

 

11 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI KABALE BUKOBA VIJIJINI YAPOKEA UGENI WA MRADI WA "OPPORTUNITY EDUCATION FOUNDATION" TOKA MAREKANI

Mwanafunzi wa Shuke hiyo ya Kabale iliyopo Bukoba Vijijini akimkabidhi Bw.  Joe Ricketts maua ikiwa ni ishara ya kumkaribisha mgeni huyo kutoka USA ambaye ni Mwenyekiti wa Mradi wa (Opportunity Education Foundation) kwenye shule hiyo leo hii. Bw. Joe Ricketts  kutoka USA kupitia Mradi wa (Opportunity Education Foundation)  akiingia kwenye eneo la Shule hiyo kwenye shule hiyo ya Kabale, Baada ya kupokelewa na Walimu wa Shule hiyo. Kutoka kushoto wa Pili ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bi....

 

9 years ago

TheCitizen

Small traders empowered on capital access, skills

The United Nations Capital Development Fund (UNCDF) and Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) today conducted a workshop aimed at raising awareness of small traders on accessing capital and technical skills.

 

11 years ago

Mwananchi

Sh1.5 bilioni zatumika mradi wa ufuta Mbugwe

Uufuta unaonekana kuwa chaguo jipya la wakulima katika baadhi ya maeneo baada ya kubaini kuwa una wateja wengi ndani na nje ya nchi.

 

11 years ago

TheCitizen

MARKET DATA REVIEW: How small-scale enterprises can access capital

>Over the past few months, we have informed and developed arguments as to why and how private enterprises and the public sector can access funding from the public through an organised local capital markets for their growth, development and welfare.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani