Round Up: Tazama yaliyotokea kwenye Showbiz Tanzania (New Video)
Kuanzia vacation ya Huddah Monroe jijini Dar, ujio wa Roc Nation Africa na bifu jipya kati ya Mirror na Nuh Mziwanda hii ni Round Up. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Aug
Video: Round Up (Yaliyotokea kwenye burudani Bongo — August 28)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/9LWTvmgdDhg/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/w01y7uKZX2w/default.jpg)
10 years ago
Bongo514 Sep
Video: Tazama walichofanya Soggy Doggy,Wakazi na TID kwenye uzinduzi wa video za Professor Jay
9 years ago
Bongo520 Aug
Video: Tazama Interview ya AY kwenye The Playlist ya Times Fm
9 years ago
Bongo506 Nov
Video: Tazama interview ya Izzo B kwenye The Playlist ya Times FM
![12070822_896813407061700_1815623839_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12070822_896813407061700_1815623839_n-300x194.jpg)
Mtangazaji wa Times FM, Lil Ommy ameendelea ku-upload interviews anavyofanya na mastaa kwenye kipindi chake cha The Playlist ambacho kinawashusha mastaa ndani ya studio za 100.5 Times FM kila Jumapili Saa 10 – 12 jioni, wakichagua nyimbo tano wanazopenda na kuwahoji mambo muhimu kuhusu mtindo wa maisha, fashion na burudani.
Izzo B alizungumza mambo mengi muhimu kuhusu muziki wake, Ngwair, Suma Lee, Sugu, Master Jay, Marco Chali, Nah Reel, Wema Sepetu, Jokate, Kajala, Vaneesa Mdee, Quick...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/79929000/jpg/_79929456_79926898.jpg)
VIDEO: Showbiz lessons for budding pastors
9 years ago
Bongo519 Oct
Video: Tazama Interview ya Ruby kwenye The Playlist ya Times FM (hosted by Lil Ommy)
9 years ago
VijimamboTASWIRA YA MATUKIO YALIYOTOKEA KWENYE BABY SHOWER YA AMY HUKO FITCHBURG. MA SIKU YA JUMAMOSI
Mama Kijacho na baba Kijacho wakikata keki tayari kwa kulishana.
Baba Kijacho akimlisha keki mama Kijacho wake kwa raha zao
Baba Kijacho akimfuta mama Kijacho wake baada ya kumlisha keki
Mama wa mama Kijacho akiongea.
Mama Kijacho akisakata rhumba na mama yake mzazi.kwa taswira zaidi ya matukio yaliyokuwa yametokea ukumbini hapo jitiririshe kwenye soma zaidi.